Watongozaji tukutane hapa please!!

Tukushauri wakati hatumjui uyo demu, what if ni dada wa atakayekushauri?
 
Kweli mkuu nashkuru umenisaidia angalau.. Nampenda kweli sa sijui nifanyaje tu
 
mkuu itakua anakuchora tu uyo
ila siku izi wamekua kama bia mkiwa pamoja mnaweza kupeana gwiji baada ya hapo kila mtu ale njia yake
 
mkuu itakua anakuchora tu uyo
ila siku izi wamekua kama bia mkiwa pamoja mnaweza kupeana gwiji baada ya hapo kila mtu ale njia yake
Kwahyo nimkomalie au ndo amenitosa??
 
Mbake kiogozi sijui unasubiri kitu gani...
 
Jamaa sound lako halijaeleweka..tatizo inaonekana unaleta masihara kwenye kazi na demu anakuona kama comedian tu ndo maana haachi kuchekacheka
 
Mkuu STUNTER nipe hizo mbinu nakutegemea kaka ili nin'goe huyu mrembo..
Anza kwanza kufuata njia ulizoelekezwa mkuu, cuz ni useful hasahasa kwa hatua uliyopo, sasa zikibuma ndio nitakupatia konki
 
step no 1. umeshakosea we umeomba namba wakati unataka nyapi nyapi, kifupi watoto wa siku hizi wanataka mtu awe straight hakuna kuwekeana usiku, unatanguliza Tigo pesa 100,000 msg inayofuata unamwambia gest uliyopo na chumba no. ngapi.kwisha habari yake
 
hahaha ila tatizo tusiwe tunakariri maisha..kwa staili yako utampata golddigger saa hiyo hiyo..ila pia kwa staili yake ya true love ingawa angeifanyia marekebisho kidogo nayo anaweza kung'oa vilevile churchgirl...mbona watu tunang'oa miamba kibao tu kwa maneno na vitendo bila kutoa hata senti?
 
Wee mvute Gheto...au muombe out seheme ya faragha...ukiona amekubali kurespond ujue kashakukubali...?
 
mwambie mchana huli, usiku haulali.... ukilala unaota ndoto za hatari hatari. Mwenyewe keshaeleweka, humuoni anacheka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…