WATISHIA KUANDAMANA-VIJANA 1st YEAR.....


M

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
280
Likes
0
Points
0
M

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
280 0 0
Ndugu wanaJF siku chache niliandika uzi juu ya ugumu wa maisha MUCE ambao unasababishwa na kutotolewa kwa "boom" ambapo walishasaini wiki 2 zilizopita,vijana hawa wenye mafunzo ya kijeshi(JKT) pamoja na wengine wa mwaka wa 2 na 3 wamesikika mara kwa mara kusema "ngoja tu....,kwa mtindo huu MUCE hapatakalika".Lakini pia wameitupia lawama DARUSO-MUCE,PIA WANADAI HAKUKUWA NA HAJA YA KUSAINI BOOM MAPEMA WAKATI HAWATOI.
 

Forum statistics

Threads 1,251,150
Members 481,585
Posts 29,759,350