Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

Kwenye vitabu vitakatifu vinaelekeza mwizi hua anakatwa mkono,mzinzi hua anapondwa mawe hadi kufa,hivyo ni vitabu vya dini uswahilini mwizi hua anapigwa na kuchomwa moto,muhanga wa macho alikua mfadhili wa wezi hivyo na yeye ni mwizi

Naomba ushahidi kwa unachokisema.
 
Scopioni labda alitaka jamaa asiwe anaona tena vitu vilivyoletwa kwake so hataweza kuthaminisha. Hapo ni kama kweli alikua mfadhili wa wezi na anawanunuza walivyoiba.
 
Aliyerekodi ni mwalimu mwenzao nadhani mkuu.
 
Kwenye nchi zinazozingatia utawala wa sheria hapo ni kuacha sheria ichukue mkondo wake tena kwa wote wawili
 
Pole kaka,ingawa imenifanya nicheke kwenye mstari"NA UBABE WANGU NIKASAFISHA NJIA",kugeuka watu walisepa,mimi naona waotetea wezi hawajahi ibiwa pakubwa!!!
 
Itakua na wewe ni mwizi au unafadhili wezi,ndio maana unatetea wezi,siku ukijichanganya kuja kuiba mtaani kwetu tairi linakuhusu!!,chukulia hii kama warning ya kishikaji
 
Hili tukio bado tata,na kesi na bado ipo mahakamani. Sasa kwanini wanaosema Scorpion alikuwa mtu mwema huonekana wanatetea uovu lakini wanao muhukumu moja kwa moja Scorpion kwa sababu ya mafunzo ya karate aliyonayo hawaonekani kufanya jambo baya?
 
katika mambo ya uganga na uchawi nakukubari uko vizuri ila katika hili kaa pembeni nahsi umekulupuka pia!!!
 
Sorry mkuu kwani huyo said alimtolea scorpion kisu??
...inasemekana, kuna uzi ulitembea sana humu jukwaani. Yaani mwanzo tulisikia scorpion ni jambazi la kutumia sialaha, then ikaja habari ya upande mwingine na kujulikana mdau alikuwa kibaka, yaani alikuwa bosi wa vibaka na kibaka wake mmoja akaenda kuiba mkoba wa dada wa scorpion, then said akaambiwa arudishe akapewa siku zikapita, siku ya siku scorpion akamzukia kufika kurupushani lilipoanza mtobolewa macho akachomoa kisu amuue scorpion na kilichofuata ndiyo huyo kibaka kunyofolewa macho. Hivyo inavyoonekana scorpion asingekuwa makini maana yake angekuwa marehemu na said angekuwa na kesi ya mauaji.
 
Hahahahahahah ulipigwa kifala mno. Don't trust nobody in this world!
 
katika mambo ya uganga na uchawi nakukubari uko vizuri ila katika hili kaa pembeni nahsi umekulupuka pia!!!
Sijakurupuka sina hulka hiyo nilichoandika kitabaki hivyo hivyo hata nikitakiwa nikirudie mara elfu kumi
 
Oooh sawa.
 
Mzee Akilimali aliwaambia wale mashabiki Waliokuwa tayari kumvamia nyumbani kwake na kumfanyia fujo,

Yeyote ambaye anataka kutangulia mbele ya haki awe wa kwanza kumfanyia fujo,

Mi nafikiri Bro mshana dawa ni kuwatoa Busha hawa vibaka na watoa macho watu.
 
kwa coment zote zinazosomwa kwa sasa nazani tumeshakubaliana kama scopion hakuwa kibaka kama ilivyokuwa ikizungumzwa na radio mbao.ukweli utakamilika tu...
 
Hekima, busara na nasaha za mshana jr zitadumu milele.
Mjomba, ulipotea mwanzoni mwa tukio LA Scorpion na umeibuka mwishoni mwa tukio.
Bujibuji bwana. Watu walizusha humu kuwa labda scorpion ndiye kipenzi changu mshana jr.
Afadhali umerudi wakati scorpion yupo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…