Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,530
- 3,995
Ndugu wa damu hawana tatizo ukiwaandaa kuheshimianaNdugu!! Hawa jamaa wakuitwa ndugu mara nyingi ni wa kuepuka mno
Ndugu wa damu hawana tatizo ukiwaandaa kuheshimianaNdugu!! Hawa jamaa wakuitwa ndugu mara nyingi ni wa kuepuka mno
Tengenezea watoto wako ndugu wengiHongera Mkuu. Waoga wa kufyatua tunakusindikiza, tupo nyuma yako
Damu nzito kuliko maji, ndio maana ukiumwa sana, unakutanishwa na ndugu na si marafiki.Wafundishe watoto wako kuwa na upendo kwa watu wote ili ukiondoka abaki na ndugu wengine uziowazaa.Nani alikmbia watoto uliowazaa ni lazima wapendane na kusaidiana?
Tuache kuiga tamaduni za wazungu, wao wana kambi za kulea wazee,huku kwetu hatuna.Mtumainia cha nduguye, hufa masikini.
Marafiki wana mwisho, ila undugu hauna mwisho; leo ukiwa mahututi ndugu watakuwa karibu, marafiki watakuwa na familia zao.Namaanish wao watoto watakua na marafiki wao watakaojitengenezea
Una watoto wangapi?umepost upumbavu mtupu
Mmoja tu atanitosha.Wee ungejua yanayoendelea kwny familia nyingi za watoto wengi usingetamani...
Cha msingi zaa watoto wachache watafutie misingi mizuri ya maisha unahakikisha hata ukifa kesho wana chao cha kushika...mbona ndugu hata marafiki tuu nao ni ndg...ukiwaacha hawana mbele wala nyuma ndo wamejazana hapo ugomvi kila siku hata raha ya wingi wao hakuna
Ndugu wenye lawama wanakuwa wamekosa malezi ya pamoja, muhimu kuzingatia malezi ya pamoja na umoja.We huna nfugu ndio maana unaandika hivyo sis wenye ndugu umejaa wivu kulogana basi na kukimbiana🤣🤣🤣
Mmoja hatoshi maana muda wowote anatekwa na ccmMmoja tu atanitosha.
Labda CCM iachie nchi
Bado hujaona nadhani....wangapi wanakufa peke yao hospitalini ndugu wamewakataaMarafiki wana mwisho, ila undugu hauna mwisho; leo ukiwa mahututi ndugu watakuwa karibu, marafiki watakuwa na familia zao.
Damu nzito kuliko majiBado hujaona nadhani....wangapi wanakufa peke yao hospitalini ndugu wamewakataa
Siku hz ni nyepesiDamu nzito kuliko maji
Hakikisha unakuwa na watoto wengi, na kuwapa umoja na mshikamano.Siku hz ni nyepesi
Sitaki sasaHakikisha unakuwa na watoto wengi, na kuwapa umoja na mshikamano.
Sawa, fainali ni uzeeniSitaki sasa
Usinitishe...Sawa, fainali ni uzeeni