kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 648
Kutuharibia watoto wetu tu , badala muweke picha za mapango ya amboni tanga , tutwiga ,tembo au hata daraja la mkapa watoto wajue mnatuwekea fashion girl ,,,,,, mhhhhhhHili ni daftari la mwanafunzi likiwa limerembwa na picha hizo, siamini kama hizi picha zinaendana na maudhui mazima ya darasani!!![]()