Hili ni daftari la mwanafunzi likiwa limerembwa na picha hizo, siamini kama hizi picha zinaendana na maudhui ya mazima ya darasani!!
Lina sehemu ya kuandika jina la mwanafunzi na jina la shule, darasa husika na jina la somo. Sasa hili daftari linatumika wapi?Siyo kila daftari linatumika darasani mkuu acha kukariri, mengine utayakuta bar, saloon n.k
Yapo madaftari yasiyokuwa na hizo picha wanatoa haohao Cello ni wewe kuchagua tu, siyo lazima pia ununue products za Cello zipo kampuni nyingine nzuri tu
Darasa la urembo na mitindo.....Data CollegeLina sehemu ya kuandika jina la mwanafunzi na jina la shule, darasa husika na jina la somo. Sasa hili daftari linatumika wapi?
Haaa, haaaa! Kumbe hata bar wanatakiwa kuandika taarifa hizi: Name, Class, School..? we si ajabu uliandika ukiwa bar!Siyo kila daftari linatumika darasani mkuu acha kukariri, mengine utayakuta bar, saloon n.k
Yapo madaftari yasiyokuwa na hizo picha wanatoa haohao Cello ni wewe kuchagua tu, siyo lazima pia ununue products za Cello zipo kampuni nyingine nzuri tu
Acha kukariri wewe BRN, kwani lazima utumie kitu kwa asilimia 100??Haaa, haaaa! Kumbe hata bar wanatakiwa kuandika taarifa hizi: Name, Class, School..? we si ajabu uliandika ukiwa bar!
Yap nilazima utumie kitu kwa 100% ili upate mafanikio, tatizo linakuja pale kitu kinaposhindikana kutumika kwa 100%, ndipo Binadamu anakiboresha ilikitumike kwa 100% kilete mafanikio. Je hakuna haja ya kuziboresha hizo daftari ili zilete mafanikio yaliyokusudiwa japo kwa 90%?Acha kukariri wewe BRN, kwani lazima utumie kitu kwa asilimia 100??
Mbona wameandika jina la mwanafunzi,Siyo kila daftari linatumika darasani mkuu acha kukariri, mengine utayakuta bar, saloon n.k