Watengenezaji wa madaftari ya Cello mna maana gani?

Watengenezaji wa madaftari ya Cello mna maana gani?

Siyo kila daftari linatumika darasani mkuu acha kukariri, mengine utayakuta bar, saloon n.k

Yapo madaftari yasiyokuwa na hizo picha wanatoa haohao Cello ni wewe kuchagua tu, siyo lazima pia ununue products za Cello zipo kampuni nyingine nzuri tu

Kaka ukosoe huku ukiangalia kilichowekwa na mtoa mada,
Umeliona hilo daftari Kaka?, Daftari la bar lina, name, school, class, subject?

Cc: kivyako
 
Back
Top Bottom