Watengenezaji wa madaftari ya Cello mna maana gani?

Watengenezaji wa madaftari ya Cello mna maana gani?

Hivi siku hizi watoto hawaweki majalada kwenye daftari?
 
Hili ni daftari la mwanafunzi likiwa limerembwa na picha hizo, siamini kama hizi picha zinaendana na maudhui mazima ya darasani!!
55f43d8543d552416db76dcea95ca121.jpg
Yeuwiiiiiiiieeee
 
Huyo atakuwa mwanafunzi na mwalimu wake wakila bata baada ya dogo kuchana pepa... Usiwe na shaka, mnunulie tu mwanao hilo daftari... Huenda nayo ni mbinuya kibiashara kupambana na ushindani... Maana Jamana Printers anauza daftari hadi sh mia tatu we unadhani utampiku vipi sokoni?
 
Hivi siku hizi watoto hawaweki majalada kwenye daftari?
Nafikiri Daftari za siku hizi quality ya cover la juu zina ubora wa hali ya juu zaidi,so haihitaji kujaladia,

Enzi zile madaftari ya Sungura tulikua tukijaladia kwa makaratasi ya mifuko ya Saruji "cement"
 
Kwa urahic unaweza kusema yanatumika baa ama namengni yapo unaweza kununua but lengo la linakuja katk jamii tena kwa kukusudia zamani ilikua pcha za wachezaji ninacho amini baada ya miaka kadha madaftar ya shule yatakua na pcha zaid ya hizo kiuchafu na jamii itaona kawaidatu kwn nitaratbu wanateka hicia za watu.wala cwez kukubaliana nalo hata likitumika baa ni mwanzotu huo
 
Mbona wameandika jina la mwanafunzi,
jina la shule,
somo, na
darasa?
Kama yangekuwa 'special' kwa bar nafikiri wangeandika
Jina la bar,
Jina la mhudumu,
Badala ya somo wakaandika vinywaji au chakula.
Tatizo umekariri mkuu, hatari sana watu kama nyie
 
Mbona wameandika jina la mwanafunzi,
jina la shule,
somo, na
darasa?
Kama yangekuwa 'special' kwa bar nafikiri wangeandika
Jina la bar,
Jina la mhudumu,
Badala ya somo wakaandika vinywaji au chakula.

ha ha ha[emoji1] [emoji1]
 
Vipo vifaa vingi vyenye haviendani na matuumizi yake... cjui y wanafanya hvyo
 
Ni kweli kuacha ujinga ni ngumu na inachukua muda sana...
Ungelikuwa mwelevu sidhani kama ungeliweza kuwa na ujasiri wa kumtukana mtu usiyemjua, hili linadhihirisha upeo wako wa kufikiri vile ulivyo.
 
Back
Top Bottom