Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,770
- 10,665
Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion .
Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy.
Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni.
hamtoweza ku SILENCE maoni ya watu walioelimika kwa hakika…. Nchi zilizoendelea zilitambua hilo na kuachana na mambo ya kuzuia uhuru wa maoni.
Hii njia mnayotumia kwa ulimwengu wa Sayansi mnafeli sana na kujiexpose, alitumia Nyerere haikumaliza watu wabishi….Mkapa alitumia still haikumaliza watu wabishi…. JK alitumia kwa nidham lakini haikumaliza watu wabishi…. JPM was the worst of all …..na ndio kipindi ilizaa majitu mabishi kuwahi kutokea hadi ikampa stress na akafa….. SSH anatumia njia ya JPM…. Be asured hatoweza badala yake kinachoendelea atazalisha ma gangster ndani ya System ….wapo viongozi wakuu wanaheshima sana na viongozi wao wakikatoliki….mnachokifanya mnaenda kuwaweka kwenye Ethical Dilema … as a result wata breach the code kama kipindi cha JPM… ataanza kupambana na watu wa mfumo wake… asubuhi anafanya kazi yako …. Jioni anafanya kazi ya ki gangster against the higher orders……. Hutotoboa
Tell your people to stop the HELL immediately wanachokifanya… it is not worth it na ni outdated method …. Tafuteni Scientific ways to deal with Haki na Uhuru wa Mtazamo.
Hilter also had a vision of a new Germany …. He ended up killing himself.
It is very hard to deal with human behavior, human ni very complicated creature …. You need emotional intelligence and balance to deal with them …. Otherwise Hutoboi Mark my Words