100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 3,688
- 12,235
Sijui hata kama wale wasomali walipona.Duh! Hizo shaba ni balaa.
Kweli aisee! Hiyo silaha kama ya kwenye muvi.Sijui hata kama wale wasomali walipona.
RealMovie au real?
Who was there to take that video?
Inaonekana ni kweli, cha kutengeneza kisingekuwa hiv kingekuw na mvuto zaid, matukio yangekuwa kimpangilioKitu ya kutengeneza
Baadhi inaonekana walipona, maana mwishowe waligeuza chombo chao na kusepa.Sijui hata kama wale wasomali walipona.
Yes ni Captain Philip bonge moja ya movie based on true storyImenikumbusha ile movie inaitwa captain philps sikumbuki vizuri.
Hadi nimewahurumia bila kupenda.Kweli siku hizi kila madili yanapata mwarobaini,sasa maharamia wataishije!????.
Maana meli imejaa askari,huna pa kukimbilia.
Hiyo boat ya kwanza wamefinywa wote,na wengine wameishia kwa mbaali.
Sasa kuna hii walivamia walikutana na Russians,aisee wale jamaa wanatandika hasa si mchezo naona hii kazi wangepewa Russia uharamia ungeisha mapemaaaa.Pirates don't deserve any mercy.
wametandikwa hasa si mchezo... na hii sasa ndo dawa yao hao shwain walizoea
Sasa kuna hii walivamia walikutana na Russians,aisee wale jamaa wanatandika hasa si mchezo naona hii kazi wangepewa Russia uharamia ungeisha mapemaaaa.
Sasa kuna hii walivamia walikutana na Russians,aisee wale jamaa wanatandika hasa si mchezo naona hii kazi wangepewa Russia uharamia ungeisha mapemaaaa.