Watekaji meli wa ki somali dhidi ya walinzi wa meli.

Kweli siku hizi kila madili yanapata mwarobaini,sasa maharamia wataishije!????.

Maana meli imejaa askari,huna pa kukimbilia.

Hiyo boat ya kwanza wamefinywa wote,na wengine wameishia kwa mbaali.
 
Pirates don't deserve any mercy.
wametandikwa hasa si mchezo... na hii sasa ndo dawa yao hao shwain walizoea
 
Haya mambo ni ya kawaida sana hasa eneo la pembe ya Africa, kwa sasa hivi yamepungua kwasababu kuna vikosi vingi vya majeshi ya mataifa tofauti yanapambana na hao waharamia.
 
Pirates don't deserve any mercy.
wametandikwa hasa si mchezo... na hii sasa ndo dawa yao hao shwain walizoea
Sasa kuna hii walivamia walikutana na Russians,aisee wale jamaa wanatandika hasa si mchezo naona hii kazi wangepewa Russia uharamia ungeisha mapemaaaa.
 
Sasa kuna hii walivamia walikutana na Russians,aisee wale jamaa wanatandika hasa si mchezo naona hii kazi wangepewa Russia uharamia ungeisha mapemaaaa.

mbna kama ni manowari ya kivita
hivi meri ya mizigo inaweza kuwa na siraha nzito ya namna hiyo ambayo iko contored na computer room ndani ya meri
 
Back
Top Bottom