Watekaji meli wa ki somali dhidi ya walinzi wa meli.

Movie au real?

Who was there to take that video?
Hizo meli pande zote zina high quality cctv movable camera km drone, halafu hao jamaa wana miwani yenye alert ya hao watekaji wakikaribia meli.
Kiukweli kuna wasomali wengi sana kwenye kundi la watekaji wameishia majini.
Sio kila tukio limeonyeshwa ila wamemalizwa.
Ndio mana husikii mambo hayo sasa.
Kuna mrusi na mfaransa waliwakamata km 200 hivi wakamalizana nao juu kwa juu huko huko baharini.
 
mbna kama ni manowari ya kivita
hivi meri ya mizigo inaweza kuwa na siraha nzito ya namna hiyo ambayo iko contored na computer room ndani ya meri
Mkuu inategemea meli imebeba bidhaa gani,serikali yake ina mamlaka ya kuilinda inavyotaka.

Kipindi cha nyuma meli zilikuwa zinakatiza kwa shida sana ukanda huo,ikitekwa Mzigo wote umeenda.
 
Hizo meli pande zote zina high quality cctv movable camera km drone, halafu hao jamaa wana miwani yenye alert ya hao watekaji wakikaribia meli.
Kiukweli kuna wasomali wengi sana kwenye kundi la watekaji wameishia majini.
Sio kila tukio limeonyeshwa ila wamemalizwa.
Ndio mana husikii mambo hayo sasa.
Kuna mrusi na mfaransa waliwakamata km 200 hivi wakamalizana nao juu kwa juu huko huko baharini.
Ni kama kubetting... Wengi sana wanafia kwenye maji... Na wakipiga mzingo wanapiga kweli...
 
Aaah bi dada umeshtuka,lakini unaijuwa movie yenyewe?ebu niangalie sura yangu kwanza,mi ndo star mwenyewe sister nlicheza na Tom hanks.
Mwana unatufunga Kamba.... Huyo mshikaji anaitwa abd, ni msomali ila anakaa mbele Huko.... Na wanasema ni mtu wa dini vibaya mno ila muonekano wake ndo shuguli.
 
Mwana unatufunga Kamba.... Huyo mshikaji anaitwa abd, ni msomali ila anakaa mbele Huko.... Na wanasema ni mtu wa dini vibaya mno ila muonekano wake ndo shuguli.
Aaa Mwana nawe umeshtuka siyo,Mwana anaitwa Barkhad abdi na kwenye ile movie alicheza kama muse.Mi namkubali sana that why.
 
Aaah bi dada umeshtuka,lakini unaijuwa movie yenyewe?ebu niangalie sura yangu kwanza,mi ndo star mwenyewe sister nlicheza na Tom hanks.
Movie nliangalia tabgu mwaka juzi..sema huyo jamaa wa kisomali kwenye avatar yako ndo alishiriki.sio wewe..
 
Sasa kuna hii walivamia walikutana na Russians,aisee wale jamaa wanatandika hasa si mchezo naona hii kazi wangepewa Russia uharamia ungeisha mapemaaaa.

Hawa jamaa n nyoko,wameshasambaratisha,lakin bado wanaendelea kuripua tu,hao wasomali walkufa vbaya sana
 
Back
Top Bottom