watch tbc with airtel tigo na hata zantel na voda hapa

Wakuu, hapo juu tuko pamoja...

Vipi kuna watu wengine mlio fanikiwa kupata TBC kwa maelezo hayo hapo juu? Mkitujuza itakuwa vizuri zaidi.
 
Wakuu, hapo juu tuko pamoja...Vipi kuna watu wengine mlio fanikiwa kupata TBC kwa maelezo hayo hapo juu? Mkitujuza itakuwa vizuri zaidi.
Nimejaribu mara mbili nimepata majibu haya hapa chini:Connection failed:VLC could not connect to "196.28.65.226:554".Your input can't be opened:VLC is unable to open the MRL 'rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20'. Check the log for details.Connection failed:VLC could not connect to "196.28.65.226:554".Your input can't be opened:VLC is unable to open the MRL 'rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20'. Check the log for details.
 
Yaani TBC hata katika habari za magamba bado wako nyuma. Tembelea Tovuti yao hakuna hata clip moja ya audio au video ya a JK .
Kwa hiyo unasema TBC hawaibebi CCM vizuri, wako objective? Duuu, ok, nilikuwa silijui hilo.

Hata BBC ni state run televsion na inaedehswa kwa pesa za walipa kodi. Ukiacha propaganda zao za mambo ya nje
kwa nini "ukiacha propaganda zao za mambo ya nje"? BBC ni shirika la kimataifa, wapo kila mahali, katika kuwapima huwezi kuniambia "ukiacha propaganda zao za mambo ya nje." Siangalii BBC kufuatilia mambo ya ndani ya UK. Kama wana udhaifu tuseme wana udhaifu, sio kusema tuuweke pembeni.

Wameshindwa hata uweka propaganda zao za CCM kwenye free channel youtube.
Si kweli, TBC siku hizi wanarusha live streams za bure, kama muanzisha thread alivyosema.
 
Wakuu, hapo juu tuko pamoja...

Vipi kuna watu wengine mlio fanikiwa kupata TBC kwa maelezo hayo hapo juu? Mkitujuza itakuwa vizuri zaidi.

Mi nimepata lakini inakata kata sana nadhani ni kb/s zinachangia tatizo hili

Kwenye etnter uRL nimeweka hii rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20

kwa nini "ukiacha propaganda zao za mambo ya nje"? BBC ni shirika la kimataifa, wapo kila mahali, katika kuwapima huwezi kuniambia "ukiacha propaganda zao za mambo ya nje." Siangalii BBC kufuatilia mambo ya ndani ya UK. Kama wana udhaifu tuseme wana udhaifu, sio kusema tuuweke pembeni.

Mkuu naposema mamb ya propagana nasema BBC wana vipindi amabvyo ukichukua video zake vinaweza kutumika ama prsesention lecture Vyuoni au mashuleni kwenye sule za sekondary. wana documenray nzuri sana. Za kuelezea jiografia, biologia, kemia, Uumbaji wa dunia. Siongeli hii BBC New tunayoona huku . Ukibadilisha IP ukawa na Ip ya UK utakunata na BBC one, two, three, four etc . Huo hakuna mambo ya propaganda.
au ukienda kwenye Torretnt ukadolwoad na kutazma kama hii ndo unaweza kunisoma http://thepiratebay.org/torrent/5819519/BBC_Documentary_-_The_Planets au hii ya Inside the human body. http://thepiratebay.org/torrent/6387191/Inside.The.Human.Body.S01E02.HDTV.XviD-BARGE

...................................................................

Si kweli, TBC siku hizi wanarusha live streams za bure, kama muanzisha thread alivyosema.

Anyway basi tuwapongeze .nilidhani hizi live stream ni jitihada za third party na sio TBC. am I wrong??????!!!!!!! Sababu hata hiyo IP adress(196.28.65.226 ) ya anaye stream hiyo TBC uki trace location yake iko South africa. kama sielewi nielimishe

Sasa iweje waweze kushghulikia some complex Streaming process washindwe kuwa na channel yao Youtube. Angalia youtube clip zilizopo kwenye tovuti yao.

Aalfu hiki ni chombo cha habari kinachotakiwa kuwa mfano. Bado wako nyuma sana. wakati wa uchaguzi Bbc walitumia ustream.tv. TBC bila bila.

Siku moja nikapiga simu kutoa maoni kupata number yenyewe ilikuwa kazi. Nilivyotoa maoni nikaambiwa yaani sasa hivi tumetoka kwenye kikako kuongelea hayo mambo. teh teh teh six month later.

anyway tuwapngeze kwa mwendo wao wa kinyonga wengine wanakimbia.
 
tatizo la kukata ni network kua slow jaribu kuichange simu yako itumie 3g(kama inasuport).

Kuhusu hili la tbc kua na streaming links hizi links si za kwao ni za dstv wametengeneza baada ya tbc kujiunga katika chanell za dstv

uncle rukus shukran kwa post zako
 
Nimekusoma mkuuu
 
Nimejaribu mara mbili nimepata majibu haya hapa chini:Connection failed:VLC could not connect to "196.28.65.226:554".Your input can't be opened:VLC is unable to open the MRL 'rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20'. Check the log for details.Connection failed:VLC could not connect to "196.28.65.226:554".Your input can't be opened:VLC is unable to open the MRL 'rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20'. Check the log for details.
hata mimi mwanzo nilikumbana na error msg kama hii, nilichofanya nilidownload VLC version ya nyuma kidogo naikakubali.. Pia siyo lazima kutumia VLC, unaweza kutumia Winamp pia.
 
tatizo la kukata ni network kua slow jaribu kuichange simu yako itumie 3g(kama inasuport). Kuhusu hili la tbc kua na streaming links hizi links si za kwao ni za dstv wametengeneza baada ya tbc kujiunga katika chanell za dstv uncle rukus shukran kwa post zako
Mtazamaji anatumia PC na siyo simu, nadhani kukatakata uko kuna sababisha na speed ya mtandao wake kuwa ndogo.
 
hata mimi mwanzo nilikumbana na error msg kama hii, nilichofanya nilidownload VLC version ya nyuma kidogo naikakubali.. Pia siyo lazima kutumia VLC, unaweza kutumia Winamp pia.
Nimetumia VLC, sasa sina utaalam na versions za nyuma ni zipi!
 
Nimetumia VLC, sasa sina utaalam na versions za nyuma ni zipi!
rudi page 1 kwenye post ya 3 nimeweka link ya kudownload VLC, ukiingia kwenye website yao wanaorodha ya version zao zote za nyuma.. Pia unaweza kusearch Winamp na ukaidownload.
 
Wakuu, hapo juu tuko pamoja...

Vipi kuna watu wengine mlio fanikiwa kupata TBC kwa maelezo hayo hapo juu? Mkitujuza itakuwa vizuri zaidi.
Mkuu nimefanikiwa na mida hii nakamata bunge live.
Nimetumia vcl kama maelekezo yako ktk post no 3.
Hakuna channel zingine za maana tunaweza pata kwa mtindo huu?
 
ipo live mkuu. safi
Natizama bunge live kupitia TBC, Supersport resolution yake ni ndogo sana, kwenye pc haionekani vizuri kama ilivyo TBC, nadhani wameweka hivyo kwa kuwa walengwa ni mobile users.
attachment.php
 
Attachments

  • Bunge.jpg
    Bunge.jpg
    53.3 KB · Views: 428
Mkuu nimefanikiwa na mida hii nakamata bunge live.
Nimetumia vcl kama maelekezo yako ktk post no 3.
Hakuna channel zingine za maana tunaweza pata kwa mtindo huu?

Shukrani kwa Feedback mkuu, ngoja tutafute zingine, ila siyo za tanzania, kumbuka TBC wanaonekana kupitia RTSP kwa msaada wa DSTV.
 
Shukrani kwa Feedback mkuu, ngoja tutafute zingine, ila siyo za tanzania, kumbuka TBC wanaonekana kupitia RTSP kwa msaada wa DSTV.
Pamoja kamanda
Swali la kizushi, Mkuu hujafanya kautafiti kidogo ulaji wake wa mb unakuwaje, mfano kwa lisaa limoja mfululizo nikiwa naangalia naweza tumia mb kiasi gani?
Mimi naangalia kifisadi kupitia net ya ofisini
 
Back
Top Bottom