Elections 2010 Watatu wafariki wakitoka kampeni ya CCM

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Breaking News
Kuna tetesi kuwa basi lililokuwa limebaba wananchi waliopelekwa kwenye mkutano wa kampeni limepinduka usiku huu likiwa linawarudisha majumbani kwao na watu watatu wamefariki dunia huko Zanzibar na sitini na tatu kujeruhiwa. Hii ilikuwa katika Breaking news ya Radio One. Ni masikitiko lakini tumepata uthibitisho kuwa kweli CCM inawabeba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine ili waongeze idadi ya watu katika mikutano yao. Maskini… inawezekana walienda kwa sababu ya mshiko. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi.

Mwandishi aliyeko maeneo hayo, anaweza kutupasha zaidi.
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, Na Hakika kwake tutarejea

Mwenyezi Mungu awape subra wafiwa, na awasamehe Marehemu, na wale wote walio pata majeraha basi tunawaombea dua wapone haraka Insha'Allah!
 
breaking news
kuna tetesi kuwa basi lililokuwa limebaba wananchi waliopelekwa kwenye mkutano wa kampeni limepinduka usiku huu likiwa linawarudisha majumbani kwao na watu watatu wamefariki dunia huko zanzibar na sitini na tatu kujeruhiwa. hii ilikuwa katika breaking news ya radio one. Ni masikitiko lakini tumepata uthibitisho kuwa kweli ccm inawabeba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine ili waongeze idadi ya watu katika mikutano yao. Maskini… inawezekana walienda kwa sababu ya mshiko. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi.

mwandishi aliyeko maeneo hayo, anaweza kutupasha zaidi.
hawakuwemo wengine kwenye malori?to hell na ccm
 
Wakome li chama limelaanika wao kutwa wanatangatanga nalo..hakuna kurest in peace apa
 
wakome li chama limelaanika wao kutwa wanatangatanga nalo..hakuna kurest in peace apa

hivi wewe huna ubinaadamu!!! Wananchi wenzetu wamepoteza maishayao wewe unafurahia!!!
Ama kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa wauwaji wa maalbino wako wa aina nyingi!!!
 
hivi wewe huna ubinaadamu!!! Wananchi wenzetu wamepoteza maishayao wewe unafurahia!!!
Ama kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa wauwaji wa maalbino wako wa aina nyingi!!!

serkali yako ndo ina unafiki wala haina ubinadamu.....kwa kawaida polisi huwa wanazuia kupanda malori ila wakereketwa wa ccm inawaruhusu. hii inamaanisha nini?kuwa hawa hata wakifa hakuna tatizo au?kwa nini uwasombe watu kwenda mikutanoni?
so sad, inaumiza sana....wanaCCM wenyewe wanakuwa wanaimba ccm ina wenyewe na wenyewe ndo wao wakiwa wamegubikwa na ujinga na umaskini.
 
Poleni sana,bora tu muwe hamkupokea rushwa huko na kama mlichukua muwe mlitubu
 
Well, the Almighty God is still saying something even if we are pretending not to listen from the Most High....................
 
Wakome li chama limelaanika wao kutwa wanatangatanga nalo..hakuna kurest in peace apa

Usifanye hivyo!! Hawa ni wahanga wa sera mbovu za CCM na kuwafanya kuwa maskini kufukuzia japo hako kwa mwekundu kamoja waweze kuganga njaa. Wangekuwa wapinzani mwenye lori angekuwa ndani kwa kubeba abiria katika malori. Wananchi wachukue hili kama fundisho kwamba CCM wako tayari hata watu wafe ili wabaki madarakani
 
Poleni wafiwa. Hivi kampeni kisheria zinafungwa saa ngapi jioni? Maana jana kwenye taarifa ya habari ITV walisema mwishoni kabisa kuwa "kwa habari tulizozipokea punde............." Au nako kuna foleni kama Bara hivyo wakachelewa? Niko curious tu wakuu!!
 
Back
Top Bottom