Watapokosa fedha za Miradi mbalimbali kwa kunyimwa misaada na mikopo, wataanza kulaumu Wapinzani hata kama Bunge litakuwa lao

Pathetic Country.. kuna matukio ya wizi wa nimeona mpaka nikasema nchi inaongozwa kwa order za wajinga
 
#Mbowe afanyiwa hujuma na Sabaya kwa kumwamuru mkurugenz kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mbunge hata kama hajashinda kwa kura.
70FAC8DA-613E-4502-8D66-A41AD2DC461E.jpeg

Sabaya unamuona wapi hapo wakati matokeo yanatangazwa? kwenye uraisi ndio usiseme Magufuli kura zaidi ya laki na ishirini, Tundu Lissu kura elfu nane tu.

Halafu Hai ndio ngome ya CDM; huko kwingine si itakuwa aibu tupu.
 
Kitu pekee ni kusubiri hadi kila mtu akipata akili, mbona Sudan walivumilia miaka 30
 
Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatutenga ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Kwahiyo, kitachofuata ni serikali hii kuanza kukwama katika utekelezaji wa miradi yake mbalimbali na hivyo wataanza kutafuta mahali pa kuelekeza lawama na hapo ndio wapinzani watapoanza kubebeshwa lawama wakati chanzo ni wao wenyewe kushindwa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Huko Bungeni hata wakiwa ni wao watupu,wataanza kuwajadili wapinzani ambao watakuwa hawamo kwa kuwalaumu na kuwabebesha lawama ambazo haziwahusu kwa.hoja kwamba ndio wanaosababisha serikali ikose mikopo na misaada na kutaka Watanzania wawaone wapinzani kuwa ndio chanzo cha wao kushindwa ku-deliver.

Narudia,baada ya kuwahujumu wapinzani na Bunge lote wakalitawala wao, bado Mbowe, Lissu, Lema, Sugu, Zitto na wapinzani wengine wataendelea kujadiliwa humo Bungeni na kubebeshwa lawama zisizowahusu wakati serikali itakuwa ni yao na Bunge pia litakuwa ni lao.

Hivi sasa kiu yao ni kutaka kuona wapinzani, hasa CHADEMA na ACT , hawaingii Bungeni lakini hilo likitimia, bado wataendelea kuhangaika tu kwani hata nafsi zao zitakuwa zinawasuta huku matatizo ya wananchi yakibaki pale pale na si ajabu hali ikawa mbaya zaidi.

Wataanza kuwaza 2025 tutawaambia mini wananchi kama Bunge lote lilikuwa lao na serikali pia ilikuwa yao hivyo lazima watengeneza propaganda mradi tu waelekeza lawama kwa wapinzani.

Tukumbuke wamekuwa wakiwalaumu wapinzani kupinga kila kitu Bungeni na kukwamisha maendeleo majimboni, hivyo sasa watakuwa ni kibarua cha kuthibitisha kwa vitendo kuwa wapinzani ambao walikuwa hawakusanyi kodi, ndio kweli walikuwa kikwazo kuanzia Bungeni mpaka kwenye majimbo.

Wameshavuruga uchaguzi na kwahiyo Bunge liktakuwa lao ila mjue tu bado wataendelea kusakama wapinzani ambao si tu hawatakuwapo Bungeni, bali pia watakuwa hawaruhusiwi kufanya hata siasa.

Na baada ya kuwaondoa wapinzani wa kweli Bungeni, msishangae wakarudisha na Bunge live, Bunge litalokuwa na kazi ya kusifu na kutukuza kama ilivyo TBC.

Time will tell.
Kuna kitu umekijua kuhusu uchaguzi huu. Fiasco kwa chadema.
 
Lots of disappointment kwenye huu uchaguzi imekuwa ni police against wananchi hakuna uchaguzi toka tumepata uhuru umekuwa hivi haki imeporwa waziwazi ni aibu aibu aibu.

Wapinzan wajifunze Bila tume huru ya uchaguz hakuna uchaguzi.
Hapa tunakosea kwa kuamini kazi ya kuleta mabadiliko ni ya wapinzani tu
 
Unapomchagua wakala ni wajibu wako kuhakikisha;
1. Anao uwezo wa kiafya kimwili na kiakili kufanya kazi hiyo.

2. Anao uaminifu na utayari wa kuifanya kazi hiyo.

3. Amepata mafunzo ya kumuwezesha kutambua wajibu na haki zake katika kazi hiyo.

4. Umeweka utaratibu wa kumpa support anapopata changamoto.

5 Umeweka utaratibu wa kumsimamia.

6. Umelinda maslahi yake binafsi.

7. Amefika kazini na kuifanya kazi.

Kwahiyo, wakala akishindwa kufanya kazi maana yake mgombea na chama chake hawana mfumo wa kuwapata, kuwaandaa na kuwasimamia mawakala.
Wakati ccm polisi ni sehemu ya mawakala wao pambaf
 
Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatutenga ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Kwahiyo, kitachofuata ni serikali hii kuanza kukwama katika utekelezaji wa miradi yake mbalimbali na hivyo wataanza kutafuta mahali pa kuelekeza lawama na hapo ndio wapinzani watapoanza kubebeshwa lawama wakati chanzo ni wao wenyewe kushindwa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.

Huko Bungeni hata wakiwa ni wao watupu,wataanza kuwajadili wapinzani ambao watakuwa hawamo kwa kuwalaumu na kuwabebesha lawama ambazo haziwahusu kwa.hoja kwamba ndio wanaosababisha serikali ikose mikopo na misaada na kutaka Watanzania wawaone wapinzani kuwa ndio chanzo cha wao kushindwa ku-deliver.

Narudia,baada ya kuwahujumu wapinzani na Bunge lote wakalitawala wao, bado Mbowe, Lissu, Lema, Sugu, Zitto na wapinzani wengine wataendelea kujadiliwa humo Bungeni na kubebeshwa lawama zisizowahusu wakati serikali itakuwa ni yao na Bunge pia litakuwa ni lao.

Hivi sasa kiu yao ni kutaka kuona wapinzani, hasa CHADEMA na ACT , hawaingii Bungeni lakini hilo likitimia, bado wataendelea kuhangaika tu kwani hata nafsi zao zitakuwa zinawasuta huku matatizo ya wananchi yakibaki pale pale na si ajabu hali ikawa mbaya zaidi.

Wataanza kuwaza 2025 tutawaambia mini wananchi kama Bunge lote lilikuwa lao na serikali pia ilikuwa yao hivyo lazima watengeneza propaganda mradi tu waelekeza lawama kwa wapinzani.

Tukumbuke wamekuwa wakiwalaumu wapinzani kupinga kila kitu Bungeni na kukwamisha maendeleo majimboni, hivyo sasa watakuwa ni kibarua cha kuthibitisha kwa vitendo kuwa wapinzani ambao walikuwa hawakusanyi kodi, ndio kweli walikuwa kikwazo kuanzia Bungeni mpaka kwenye majimbo.

Wameshavuruga uchaguzi na kwahiyo Bunge liktakuwa lao ila mjue tu bado wataendelea kusakama wapinzani ambao si tu hawatakuwapo Bungeni, bali pia watakuwa hawaruhusiwi kufanya hata siasa.

Na baada ya kuwaondoa wapinzani wa kweli Bungeni, msishangae wakarudisha na Bunge live, Bunge litalokuwa na kazi ya kusifu na kutukuza kama ilivyo TBC.

Time will tell.
Hatuhitaj misaada we mpuuzi.
Mlisema mwaka huu mnakinukisha, vipi?
 
Meko ni mentalcase kabisa,yani ni rubbish
 
Tatizo lenu mnaanzishaga post za kijinga na kuanza kugongeana likes, mkiambiwa Magufuli watanzania wanamwelewa nyie mnashinda JF na Twitter huku mkikosoa miradi inayowagusa watu.

Situation kwa kweli sio nzuri kwa mpenda demokrasia yeyote unahitaji upinzani; on the positive side upinzani wenyewe ulikuwa weak mna miaka 5 ya kujipanga upya. Kufanya kosa sio kurudia kosa ndio kosa.

Viva Magufuli
Upinzani weak alafu utumie dola kushinda uchaguzi!!Mnafiki mkubwa we!
 
Back
Top Bottom