Watapokosa fedha za Miradi mbalimbali kwa kunyimwa misaada na mikopo, wataanza kulaumu Wapinzani hata kama Bunge litakuwa lao

Ndani ya masaa 72 ninakwenda Kuwa WAZIRI MKUU.....

Niko Huku Kijijini Mtamba Nikipalilia Mihogo Yangu Na Kuziimba Zile Imani Kuu 3 Ninazoziamini:

1.Binadamu wote ni Sawa
2.Kila Mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
3.Ujamaa na kujitegemea ndio njia sahihi ya kujenga jamii iliyo huru na Sawa.

Mkulima na muuza Al Kasus
 
Lots of disappointment kweny huu uchaguzi imekuwa ni police against wananchi hakuna uchaguzi toka tumepata uhuru umekuwa hivi haki imeporwa waziwazi ni aibu aibu aibu.

Wapinzan wajifunze Bila tume huru ya uchaguz hakuna uchaguzi.
Kwa tafsiri yako upinzani ni nani ?
 
Mbona mnalialia aiseee.Hivi ni kweli guta lishindane na Benz?

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tatizo lenu mnaanzishaga post za kijinga na kuanza kugongeana likes, mkiambiwa Magufuli watanzania wanamwelewa nyie mnashinda JF na Twitter huku mkikosoa miradi inayowagusa watu....
Ulazimishe wanafunzi na kutoa 5,000 kwa wenye shida ili ujaze uwanja pamoja na kutumia wasanii.

Uchapishe kura bandia ili upate ushindi.

Bado unaamini unapendwa!
 
Stupidity mindset,
Misaada, Misaada. Kwahiyo wewe bila kusaidiwa huwezi kuendelea?
Kwani wao kabla ya kuendelea, walisaidiwa na nani?
 
Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatunge ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki...
Mmekwama siyo kiasi mnaomba dua nchi inyimwe misaada! Hilo ni dua la kuku mwewe alimpati. Nchi ni tajiri haihitaji misaada ya nchi nyingine. Nchi itakopa kwenye Taasisi za fedha zinazofanya kazi kibiashara siyo kisiasa.

Badala yake viongozi wa upinzani kwa kukosa ruzuku na michango ya wabunge, wataanza kutafuta mchawi na kuraruana. Hili litatokea ndani ya CHADEMA ambako viongozi wake walikuwa wanakula bata kwa fedha hizo.
 
Sasa kama situation siyo nzuri na wapinzani wanahitaji nchini ili kuleta challenge unaongea nini na hili iweje?
Situation kwa kweli sio nzuri kwa mpenda demokrasia yeyote unahitaji upinzani; o
 
Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatunge ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki...
Thread kama hizi zinazidi kuwaharibia badala ya kupata wafuasi unapoombea taifa mabaya usidhani watu wanafurahia hapa unaongelea maisha ya kila mwananchi siyo wanachama wa CCM tu. Huu uchaguzi umeonesha ubabe wa CCM na udhaifu wa Upinzani.

Narudia tena hamna organisation wala watu wa kutosha kupambani your cause huwezi kufanikiwa kama chama cha siasa wakati hivyo vitu viwili huna na watu wasipoingia barabarani hata hao wahisani watakaa kimya, japo najiuliza wataingiaji barabarani wakati wamesusa hata kupiga kura. Ni mategemeo yangu mtajifunza.
 
MCHAƘATO WA ƘATIƁA NƊO ƁƳE ƁƳE....NA TUME HURU NƊIƳO ƁASI TENA....Watetezi wa wananchi wametolewa nje ,wameɓaƙi watetezi wa serikali😫😫😫
 
Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatunge ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki...
Tatizo lako ndugu yangu nikuamini sana katika utegemezi na kupewa. Nakushauri uwe na mawazo ya kujitegemea na kuacha utumwa wa mawazo ya kusujudu mabeberu
 
Ulazimishe wanafunzi na kutoa 5,000 kwa wenye shida ili ujaze uwanja pamoja na kutumia wasanii.

Uchapishe kura bandia ili upate ushindi.

Bado unaamini unapendwa!
Maneno ya mkosaji tu hayo

Mbowe alikuwa Hai karibu miezi miwili na kama mtu mwenye uwezo wa kulinda kura zake sidhani kama kuna anaemzidi.

Pamoja na yote kashindwa vibaya sana. Huko nako wasanii walikuweko muda wote.
 
Wakajipange sio kila kitu kupinga tu.
Kwa hiyo ukiwa na familia unataka woote wakuunge mkono hasiwepo wa kukupinga..?

Mwenyezi Mungu mwenye mamlaka ambaye anauwezo kutoa wote wanaompinga yeye mwenyewe katoa uhuru wa wewe kuchagua giza au nuru, iweje kata^ kama wewe mh!
 
Maneno ya mkosaji tu hayo

Mbowe alikuwa Hai karibu miezi miwili na kama mtu mwenye uwezo wa kulinda kura zake sidhani kama kuna anaemzidi.

Pamoja na yote kashindwa vibaya sana. Huko nako wasanii walikuweko muda wote.
#Mbowe afanyiwa hujuma na Sabaya kwa kumwamuru mkurugenz kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mbunge hata kama hajashinda kwa kura.
 
Back
Top Bottom