paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,504
- 3,499
Chadema siwaiti tena wajinga!! Bali ndivyo walivyo!!
Dah...Ukinunua umeme unachangia rea sio serikali
Tanzania ni nchi huru broo. Walitunyima fedha za MCC Tukaweka umeme vijiji zaidi ya 9000
Wakibaki CCM peke yao, nadhani by 2025 Tanzania itakuwa kama US kimaendeleo maana wapinzani ndio walikuwa kikwazo.
Yaani wanashangaa kweli watanganyika ndio fujo hili walofanya ndo mnaufyata mnaanza kualalama simameni kidete msikubali kuonewa kirahisi hivi. Iheshimuni damu ya Mkwawa na kinjeketile. Hawakuogopa silaha za mjerumani. Nyie vipi?Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatutenga ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Kwahiyo, kitachofuata ni serikali hii kuanza kukwama katika utekelezaji wa miradi yake mbalimbali na hivyo wataanza kutafuta mahali pa kuelekeza lawama na hapo ndio wapinzani watapoanza kubebeshwa lawama wakati chanzo ni wao wenyewe kushindwa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Huko Bungeni hata wakiwa ni wao watupu,wataanza kuwajadili wapinzani ambao watakuwa hawamo kwa kuwalaumu na kuwabebesha lawama ambazo haziwahusu kwa.hoja kwamba ndio wanaosababisha serikali ikose mikopo na misaada na kutaka Watanzania wawaone wapinzani kuwa ndio chanzo cha wao kushindwa ku-deliver.
Narudia,baada ya kuwahujumu wapinzani na Bunge lote wakalitawala wao, bado Mbowe, Lissu, Lema, Sugu, Zitto na wapinzani wengine wataendelea kujadiliwa humo Bungeni na kubebeshwa lawama zisizowahusu wakati serikali itakuwa ni yao na Bunge pia litakuwa ni lao.
Hivi sasa kiu yao ni kutaka kuona wapinzani, hasa CHADEMA na ACT , hawaingii Bungeni lakini hilo likitimia, bado wataendelea kuhangaika tu kwani hata nafsi zao zitakuwa zinawasuta huku matatizo ya wananchi yakibaki pale pale na si ajabu hali ikawa mbaya zaidi.
Wataanza kuwaza 2025 tutawaambia mini wananchi kama Bunge lote lilikuwa lao na serikali pia ilikuwa yao hivyo lazima watengeneza propaganda mradi tu waelekeza lawama kwa wapinzani.
Tukumbuke wamekuwa wakiwalaumu wapinzani kupinga kila kitu Bungeni na kukwamisha maendeleo majimboni, hivyo sasa watakuwa ni kibarua cha kuthibitisha kwa vitendo kuwa wapinzani ambao walikuwa hawakusanyi kodi, ndio kweli walikuwa kikwazo kuanzia Bungeni mpaka kwenye majimbo.
Wameshavuruga uchaguzi na kwahiyo Bunge liktakuwa lao ila mjue tu bado wataendelea kusakama wapinzani ambao si tu hawatakuwapo Bungeni, bali pia watakuwa hawaruhusiwi kufanya hata siasa.
Na baada ya kuwaondoa wapinzani wa kweli Bungeni, msishangae wakarudisha na Bunge live, Bunge litalokuwa na kazi ya kusifu na kutukuza kama ilivyo TBC.
Time will tell.
Hahaha sisi ni Dona kantry aisee usituchukulie PoaKwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatutenga ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Kwahiyo, kitachofuata ni serikali hii kuanza kukwama katika utekelezaji wa miradi yake mbalimbali na hivyo wataanza kutafuta mahali pa kuelekeza lawama na hapo ndio wapinzani watapoanza kubebeshwa lawama wakati chanzo ni wao wenyewe kushindwa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Huko Bungeni hata wakiwa ni wao watupu,wataanza kuwajadili wapinzani ambao watakuwa hawamo kwa kuwalaumu na kuwabebesha lawama ambazo haziwahusu kwa.hoja kwamba ndio wanaosababisha serikali ikose mikopo na misaada na kutaka Watanzania wawaone wapinzani kuwa ndio chanzo cha wao kushindwa ku-deliver.
Narudia,baada ya kuwahujumu wapinzani na Bunge lote wakalitawala wao, bado Mbowe, Lissu, Lema, Sugu, Zitto na wapinzani wengine wataendelea kujadiliwa humo Bungeni na kubebeshwa lawama zisizowahusu wakati serikali itakuwa ni yao na Bunge pia litakuwa ni lao.
Hivi sasa kiu yao ni kutaka kuona wapinzani, hasa CHADEMA na ACT , hawaingii Bungeni lakini hilo likitimia, bado wataendelea kuhangaika tu kwani hata nafsi zao zitakuwa zinawasuta huku matatizo ya wananchi yakibaki pale pale na si ajabu hali ikawa mbaya zaidi.
Wataanza kuwaza 2025 tutawaambia mini wananchi kama Bunge lote lilikuwa lao na serikali pia ilikuwa yao hivyo lazima watengeneza propaganda mradi tu waelekeza lawama kwa wapinzani.
Tukumbuke wamekuwa wakiwalaumu wapinzani kupinga kila kitu Bungeni na kukwamisha maendeleo majimboni, hivyo sasa watakuwa ni kibarua cha kuthibitisha kwa vitendo kuwa wapinzani ambao walikuwa hawakusanyi kodi, ndio kweli walikuwa kikwazo kuanzia Bungeni mpaka kwenye majimbo.
Wameshavuruga uchaguzi na kwahiyo Bunge liktakuwa lao ila mjue tu bado wataendelea kusakama wapinzani ambao si tu hawatakuwapo Bungeni, bali pia watakuwa hawaruhusiwi kufanya hata siasa.
Na baada ya kuwaondoa wapinzani wa kweli Bungeni, msishangae wakarudisha na Bunge live, Bunge litalokuwa na kazi ya kusifu na kutukuza kama ilivyo TBC.
Time will tell.
Hahaaa weweeeeee!!!Mmeshaanza mapema na threads za kujifariji!? Tuliwaambia humu mapema nyie mkakomaa "NI YEYE".. Leo mtashindana kuanzisha threads za kutia huruma, barabarani mnaingia saa ngapi?,au mnasubiri tamko la Lissu!?
Hata wewe mtegemea misaada!Stupidity mindset,
Misaada, Misaada. Kwahiyo wewe bila kusaidiwa huwezi kuendelea?
Kwani wao kabla ya kuendelea, walisaidiwa na nani?
Tutajie kitu kimoja mlichofanya bila msaada!! Nyie wachache ndio uwa mnafanya ngozi nyeusi tuonekane hatuna akili!! Miaka zaidi ya hamsini toka tujitawale tumeshindwa kusambaza maji safi tu nchi nzima!! Miradi yote uko Tanzania ina mikono ya wazungu, kila mtawala anaeingia madarakani anaingia mipango yake!! Maendeleo yatatoka wapi?!! Hao mnao waita mabeberu hamuwezi kufanya chochote bila wao, mkilima mazao ya biashara soko kubwa liko kwao!! Mkichimba madini soko kubwa liko kwao!!Stupidity mindset,