Wataokwamisha sensa kukiona...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataokwamisha sensa kukiona...!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Escobar, Aug 17, 2012.

 1. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mkuu wa mkoa wa Dar anaongea live sasahivi kuwa hakutakuwa na kipengele cha dini katika sensa na kuna kikundi kidogo cha mashehe kinawapotosha waislam safi kwa maslah yake binafsi hivyo watachukuliwa hatua za kisheria!

  Pia ameongoza kuwa hata jana kuna watu wameonekana wakiongea kwenye vyombo vya habari wakipinga na pia wamekuwa wakigawa vipeperushi vinavvyohamasisha kugomea sensa, serikali inajua na itawashughulikia kwa mujibu wa sheria!

  Serikali haihesabu watu ili ijenge vyuo vya mashehe bali ni kwa maendeleo ya nchi.

  Source: TBC LIVE kutoka Mnazi mmoja kwenye uzinduzi rasmi wa sensa
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Very gud mkuu wa dsm
   
 3. Mzee Msemakweli

  Mzee Msemakweli Senior Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wao kwa wao yetu macho maana waliwatumia wakapata wanachotaka wakawaacha tupu. Sasa wanawasumbua wao wenyewe.
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Sasa anaeongea ni makamu wa pili wa rais zanzibar nae amewabeza kina sheikh ponda
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Na vile vya utaifa walivigomea?
   
 6. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hii sensa naisubiri kwa shauku kama fainali ya nini sijui...nadhani tutapata uhondo ndani ya hizo siku saba...ni RAHA ilioje mkuu wa mkoa wa darisalama atakaposimamia zoezi la kuwadhibidi waislam wenzake...
   
 7. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tupe vitu kamili mkuu, raha ianze mapema...
   
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wasitutishe, hatukubali kuhesabiwa na hakuna lolote wanaloweza kufanya.
   
 9. peri

  peri JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hao wote hawajui wanalofanya.
  Kumbeza ponda sio sababu ya kutushawishi kuhesabiwa.
  Watabeza, watasema sana lakini HATUHESABIWI.
  Wakitaka waweke kipengele cha dini kwanza.
   
 10. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndiyo hicho wengine tunachosubiri kwa hamu kubwa. Mungu atuweke hai , tutakutana hapahapa wakati wa zoezi linaendelea mpaka linaisha...
   
 11. peri

  peri JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna mwenye uwezo wa kuwaadhibu waislamu isipokuwa aliye waumba tu.
   
 12. peri

  peri JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna shida, tusubiri tuone.
  Mimi SIHESABIWI hata kwa risasi.
   
 13. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu uko sahihi kabisa,hata mimi lawama zangu ni kwa Jk na watu wake walivyotumia mtaji wa kidini ili kufikia malengo ya kisiasa.Sasa wamelikoroga wenyewe walinywe.
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya bana, yetu macho...
   
 15. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Mkuu fanya Yote ila usigomee sensa! Mi nipo huku kwenye Mafunzo. Nachotaka kukuambia akikushawishi karani uesabiwe ni bora ukakubali..

  Maana Tumeambiwa kuwa Kama mtu akigoma Unanyanyua simu yako unampigia Msimamizi mkuu, sasa yeye ndo atajua cha kufanya..

  KILA MTU ATAHESABIWA
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  safi sana...angeongea kiongozi wa dini nyingine ungesikia MFUMO KRISTU...sasa kasema mjahidina mwenzao.....
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Dini gani na ili iweje.

  Hapa tz dini ni upagani tu na ndiyo maana haijasajiliwa wizara ya mambo ya ndani. Vingine vyote ni vikundi -associations na ndiyo maana ili viendeshe shughuli zake lazima viombe usajili/ruhusa.

  and so they are obliged to comply na aliyewasajili

  kusajili mmeomba kisha mnataka kumwendesha aliyewasajili....sawa na mpangaji kumwendesha mwenye nyumba.

  Ombeni kufutwa usajili kwanza
   
 18. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si kila Mkristo ni Mchungaji,Padri au Askofu.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  Nasubiria hii movie
   
 20. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atapigiwa simu sana.Tukiwa hai tutaona lakini hatokuwa na kingine cha kufanya zaidi ya kuwatumia law enforcers ambao siku hizo karandinga lao litajaa na kumwagika.Mpaka pumzi ya mwisho.
   
Loading...