Watanzania wote wanunue picha ya Mama Samia na kuitundika sebuleni na chumbani

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
 
Tumuweke na riverside tuwe tunanunua huku tunamuona
 
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Hili naunga mkono asilimia 💯 Samia awe Rais wa Maisha .

Huyu mama Mungu amuweke
 
Cha ajabu mnamshangaa Mama
Wakati wa nyerere, ilikuwa kuna msako wa kwenye biashara na maofisini wasioweka picha yake wanakamatwa.....
 
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Leo vinyozi wa mama wametoa statement
 
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Mie nataka hiyo picha niiweke bafuni kupigia puchu!
 
Nashauri kila kituo cha Gari Tanzania kiwekwe picha Yake.

Ukishuka kwenye Gari utamuona na ukipanda kwenye Gari utamuona.

Alafu utungwe wimbo wake ili uwepo kwenye caller tune ukimpigia MTU simu uskike wimbo huo tu sio nyimbo nyingine.
 
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Mbona tunazo vyooni tumezitundika ukutana 🙄🙄
 
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Kwenye simu yangu tu nikiiona picha yake nasonya, itakuwa ndani kwangu?
 
Back
Top Bottom