Kagosi DJ
Member
- May 5, 2020
- 19
- 69
Hakuna asiyefahamu kile kilicho mpata mgombea urais kupitia CHADEMA na wote tumeguswa
Wakati huu tayali umeaminiwa wewe kuwa mgombea urais hivyo upo kwenye nafas nzuri ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
Sasa tunatamani saana kusikia utatufanyia nini? Utatumia njia gani kuyafanya hayo na ni yapi unayohisi unaweza kufanya ambayo wagombea wengine hawana uwezo huo.
Cha kushangaza ni kwamba mpaka leo unatumia mda wako mwingi sana kuelezea yaliyo kukuta, na magumu uliyopitia ambayo wote tunayajua.
Toa hoja na utushawishi kwa hoja za yapi tutarajie kwako kama rais mtarajiwa.