Watanzania wote tunaelewa kilicho mpata Lissu na tunamuombea

Kagosi DJ

Member
May 5, 2020
6
45
Hakuna asiyefahamu kile kilicho mpata mgombea urais kupitia CHADEMA na wote tumeguswa

Wakati huu tayali umeaminiwa wewe kuwa mgombea urais hivyo upo kwenye nafas nzuri ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi.

Sasa tunatamani saana kusikia utatufanyia nini? Utatumia njia gani kuyafanya hayo na ni yapi unayohisi unaweza kufanya ambayo wagombea wengine hawana uwezo huo.

Cha kushangaza ni kwamba mpaka leo unatumia mda wako mwingi sana kuelezea yaliyo kukuta, na magumu uliyopitia ambayo wote tunayajua.

Toa hoja na utushawishi kwa hoja za yapi tutarajie kwako kama rais mtarajiwa.
 

Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,028
2,000
Hivi umesikiliza kweli hotuba ya TAL? Kwa taarifa yako chama kimeamua kutonadi Sera zake Leo kwa sababu haingekuwa busara kufanya hivyo wakati wagombea lukuki wa ubunge na udiwani Wa upinzani wameenguliwa kwa sababu zisizoeleweka. Ndio maana Leo chama kimeamua kutangaza maandamano ya Amani kwenye majimbo na kata zote kupinga na uonevu huo!
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,775
2,000
Ilani imemshinda kwa mihemko anachohadithia kila mmoja anajua kama Chadema wenzie ndio watesi wake!
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,506
2,000
Na mwaka huu Chadema Kwa kuwa uraisi haitafikisha hata Kura milioni mbili za wapiga Kura wote, Shida zaidi Ikiwa haitapeleka wabunge wengi Bungeni, Ndio mwisho wa Chama hicho kuwika mjini

2025 CCM haitaweka nguvu kubwa kuchukua nchi,

Watanzania bhana! Ni watu wengine kabisa na hawatabiliki!

Inahitaji muda kuwafahamu Watanzania
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,560
2,000
Usimpangie kampangie mgombea wa chama chako kijani kibichi , wewe unampangia kama nani Pimbi kweli wewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom