Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

Kero yako si ya mwenzako.

Wewe nnaona una kero ya upumbavu na ulofa.

Sema tukusaidie.
Faiza,
Hii ndiyo shida kudhani kuwa hoja zinajibiwa kwa matusi na mihemko.

Hivi inaingia akilini kupoteza tena muda, fedha kuzunguka kukusanya "kero za wananchi"? Wakati wa kampeni alikuwa akifanya nini? Au unadhani kampeni ni njia moja tu(Mgombea kutoa sera)!
 
Mengi yametokea wakati wa kampeni ila haifai kuzunguka sababu huko wilayani mpaka tarafa mna wawakilishi wenu. . . Wanafanya nini huko??!!

Kila wilaya kuna gari, zinafanya nini kama hawawezi kuwafikia wananchi??!!
Au ndio michongo imeanza???!!!

Tafadhali sana kula kula imetosha hiyo fedha mkanunue madawati
 
kero kubwa ya watanzania ni ccm. tunaomba maghufulia atuondolee hili dudu.

..
 
CCM ni JINI, ADUI namba moja wa nchi yetu...!!

Lini shetani AKATENDA MEMA..?😨😨
 
KERO na MLETA KERO nchi hii ni CCM. Halafu unasema KERO apokee kero?!!!
 
mmeshika nchi na hamjui wananchi wanataka nini! ndiyo maana kikwete alisema hajui kwanini nchi yake maskini.
 
Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.

CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.

Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.

Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.

Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.

Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.

Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.

Wewe ajuza tuliza akili
Hivi unaelewa maana ya hicho kibwagizo "hapa kazi tu". Ni msemo ambao hauna maana yoyote zaidi ya kuwa slogan ya kuwadanganya watanganyika.

Is it measurable?
 
Kero kubwa kuliko zote ni tume ya uchaguzi.sidhani kama Magufuli ana ubavu wa kugusa hii kero.
 
mmeshika nchi na hamjui wananchi wanataka nini! ndiyo maana kikwete alisema hajui kwanini nchi yake maskini.

Wewe umasikini wako unaujuwa ni kwanini?

Tanzania si masikini watu wake ni masikini na Kikwete alishindwa kuwaambia kwanini lakini Mkapa akaja kuweka wazi, umesahau?
 
Faiza,
Hii ndiyo shida kudhani kuwa hoja zinajibiwa kwa matusi na mihemko.

Hivi inaingia akilini kupoteza tena muda, fedha kuzunguka kukusanya "kero za wananchi"? Wakati wa kampeni alikuwa akifanya nini? Au unadhani kampeni ni njia moja tu(Mgombea kutoa sera)!

CCM ipo kwa ajili ya wananchi, kama unaona kuwatumikia wananchi ni kupoteza fedha, hizo fedha faida yake nini? Zitengenezee frame uwe unazitazama.

Hakuna tusi hapo.
 
Wewe kama nani unaekusanya kero??? Una nafAsi gani kwenye hicho chama chako ili uniaminishe mimi??? Eti unakusanya kero...Hahahaha huu utaratibu umeanza lini na inafahamika wazi kero zinafahamika mpaka mzee wenu wa hapakazi tu alisema ANASHANGAA HIZO KERO kipindi cha kampeni???

Duuuh..! Hii ndo Tanzania! Mlishatupima saizi ya miguu ya viatu vyetu LEO HII MNAULIZA MLIKUWA MNATAKA VIATU VYA AINA GANI NA SAIZI NGAPI..HUKU SAIZI NA AINA YA VIATU INAJULIKANA..
 
FaizaFoxy Ningependa kuona yafuatayo
1. Miundombinu imara - barabara na reli
2. Umeme
3. Kubadili mfumo wa uongozi. Wananchi wawachague wakuu wa mikoa kwa kura, ugatuzi wa madaraka kwa tawala za mikoa, kufutwa kwa wizara ya TAMISEMI ili serikali za mitaa ziwe zinareport moja kwa moja kwa mkuu wa mkoa
4. Kuundwa kwa 'national champions' - haya ni makampuni makubwa yanayomilikiwa na serikali au wananchi wa tanzania yanayoweza kuwakilisha tanzania nje ya nchi na kutuingizia mapato mengi, pamoja na kuajiri watanzania wengi sana.
Nitarudi na mengine.
 
Habari yako FaizaFoxy!


Kuna kero moja mie inanisumbua nayo ni pale wanasiasa wanapotumia nafasi zao Bungeni au kwenye hadhara kutukana na kutupiana vijembe badala ya kutoa hoja zitakazosaidia kujenga nchi. Viongozi wa ngazi zote wasipoteze muda kutupiana maneno machafu ya kukwaruzana, badala yake watumie vinywa vyao kujenga hoja zitakazosaidia kuleta maendeleo kwa taifa.

Baada ya uchaguzi kuisha, tujenge nchi kwa ustaarabu.

Manase.
 
Kero yako si ya mwenzako.

Wewe nnaona una kero ya upumbavu na ulofa.

Sema tukusaidie.

Subiri Baada ya week moja mvua za Elnino zitakua zimepamba moto, hapo utajua kero nyingi za watanzania hasa waishio kwenye uso wa hii nchi.
 
Back
Top Bottom