Kero yako si ya mwenzako.
Wewe nnaona una kero ya upumbavu na ulofa.
Sema tukusaidie.
Tume iliyopo iko huru.
Au ulitaka iweje ndiyo uelewe kuwa iko huru?
Habari yako FaizaFoxy!
Kuna kero moja mie inanisumbua nayo ni pale wanasiasa wanapotumia nafasi zao Bungeni au kwenye hadhara kutukana na kutupiana vijembe badala ya kutoa hoja zitakazosaidia kujenga nchi. Viongozi wa ngazi zote wasipoteze muda kutupiana maneno machafu ya kukwaruzana, badala yake watumie vinywa vyao kujenga hoja zitakazosaidia kuleta maendeleo kwa taifa.
Baada ya uchaguzi kuisha, tujenge nchi kwa ustaarabu.
Manase.
Ndiyo maana CCM tunaanzia katika nyumba kumi, ili kila mmoja aweze kutatuliwa kero yake.
Hatukisii.
Msifanye mizaha kisa watz hajui kuhoji hivi kwanini msingetekeleza yale mlo ahidi kwenye majukwaa kipindi cha kampeni?
Hapa kazi tu tumewapiga kwa urais ccm mbele kwa mbele. Tunewanyoosha kwenye ubunge ccm mbele kwa mbele. Tumewachapa kwa madiwani ccm mbele kwa mbele. Rais wetu Magufuli hana ubaguzi atawahudumia woteNaam, tuna ilani nzima ya kutekeleza, isome.
Lakini tunaamini kuna wale amabao hawajaisoma ilani na kuna wale amabao si wana CCM, tunataka wawe na imani na wake tu, kwani sisi ndiyo chama chao cha kuwatumikia kwa ridhaa ya wananchi walio wengi.
Karibu sana na wala hatukuambii uhamie CCM, sisi kazi tu.
Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.
CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.
Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.
Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.
Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.
Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.
Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.
Wewe umasikini wako unaujuwa ni kwanini?
Tanzania si masikini watu wake ni masikini na Kikwete alishindwa kuwaambia kwanini lakini Mkapa akaja kuweka wazi, umesahau?
Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.
CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.
Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.
Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.
Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.
Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.
Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.
FaizaFoxy Ningependa kuona yafuatayo
1. Miundombinu imara - barabara na reli
2. Umeme
3. Kubadili mfumo wa uongozi. Wananchi wawachague wakuu wa mikoa kwa kura, ugatuzi wa madaraka kwa tawala za mikoa, kufutwa kwa wizara ya TAMISEMI ili serikali za mitaa ziwe zinareport moja kwa moja kwa mkuu wa mkoa
4. Kuundwa kwa 'national champions' - haya ni makampuni makubwa yanayomilikiwa na serikali au wananchi wa tanzania yanayoweza kuwakilisha tanzania nje ya nchi na kutuingizia mapato mengi, pamoja na kuajiri watanzania wengi sana.
Nitarudi na mengine.
Ndiyo maana CCM tunaanzia katika nyumba kumi, ili kila mmoja aweze kutatuliwa kero yake.
Hatukisii.
CCM ipo kwa ajili ya wananchi, kama unaona kuwatumikia wananchi ni kupoteza fedha, hizo fedha faida yake nini? Zitengenezee frame uwe unazitazama.
Hakuna tusi hapo.