utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Kila zama na kitabu chake. Hatuwezi kukubali kuendelea kuibiwa eti kwa sababu babu au baba alikosea. Sisi kizazi kipya ndio tunarekebisha makosa yaliyofanywa na waliotangulia. Hatuangalii tulipoangukia tunaangalia tulipojikwaa. Wote wanaopinga juhudi na harakati hizi watupishe. Wapishe tupite tuna mwendo mkali