Watanzania wengi ni watu wa kuongea vitu bila kuwa na uhakika na wanachokiongea

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Hii tabi ya watanzania tulio wengi.Yaani kitu akiongea mtu fulani kwasababu kaongra jamaa yake u mtu ambaye anamwamini basi hukimbilia kuongea pasipo kuwa na uhakika.Yaani ni kama wengi wao huwa hawapimi huchukua kama kilivyo kitu ambacho siyo kizuri.

Tabia hii ya watanzanja hufanha wengi kutopanuka akili.Mara nyingi binadamu anatakwa kuprove kile kitu anachoongelea ushabiki ndiyo hupelekea watu kupingana na facts kwasababu tu fulani kasema.

Mtu mwenye ufahamu hufikiri mara mbili
 
Tuacheni na maongezi yetu ya kwenye kahawa,mnataka tumsifu mwami,tumekuwa wanyarwanda mimi nimebarikiwa na kutembelea nchi zinazotuzunguka zambia wanaongeleaga pombe..kenya ukabila uganda kachabhali na ukabila..burundi ukabila na pombe na uoga.drc..mziki mavazi pombe.
 
Inasaidia sana, mwisho wa siku ukweli unajulikana na kila mtu anajifunza jambo.
 
Watanzania hawa viongozi ni wazuri wa kubisha hata kitu cha u kweli!
Dawa ni hiyo kuzungumza tu mwisho u kweli utajulikana
 
Jana nilisoma habari mtandaoni ya kuuwawa Salva Kiir. Sikuamini hiyo source nikatafuta BBC, CNN, DW hadi walipoandika wasifu wake. Nikarudi Jf sikuiona! Nikajua ni uzushi nikaacha kuanzisha thread yake hapa.Najipongeza kufanya utafiti.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii tabi ya watanzania tulio wengi.Yaani kitu akiongea mtu fulani kwasababu kaongra jamaa yake u mtu ambaye anamwamini basi hukimbilia kuongea pasipo kuwa na uhakika.Yaani ni kama wengi wao huwa hawapimi huchukua kama kilivyo kitu ambacho siyo kizuri.

Tabia hii ya watanzanja hufanha wengi kutopanuka akili.Mara nyingi binadamu anatakwa kuprove kile kitu anachoongelea ushabiki ndiyo hupelekea watu kupingana na facts kwasababu tu fulani kasema.

Mtu mwenye ufahamu hufikiri mara mbili
Wew umeprove ulichoandika?
 
Hili ni tatizo la viongozi wa nchi hii. Nafuu hata hawa commoners maana maneno yao hayana direct impact
 
Mkuu ni muhimu sana kuandika kitu humu ambacho una uhakika nacho na kama ni tukio basi una source ya kueleweka na kuaminika. Mie nikiona habari yoyote kuhusu tukio fulani popote pale duniani kabla sijaiweka humu ni lazima kwanza nijiridhishe kwamba ni habari ya kweli, vinginevyo siiweki humu.

Jana nilisoma habari mtandaoni ya kuuwawa Salva Kiir. Sikuamini hiyo source nikatafuta BBC, CNN, DW hadi walipoandika wasifu wake. Nikarudi Jf sikuiona! Nikajua ni uzushi nikaacha kuanzisha thread yake hapa.Najipongeza kufanya utafiti.
 
Mkuu ni muhimu sana kuandika kitu humu ambacho una uhakika nacho na kama ni tukio basi una source ya kueleweka na kuaminika. Mie nikiona habari yoyote kuhusu tukio fulani popote pale duniani kabla sijaiweka humu ni lazima kwanza nijiridhishe kwamba ni habari ya kweli, vinginevyo siiweki humu.
Mkuu ni muhimu sana kuandika kitu humu ambacho una uhakika nacho na kama ni tukio basi una source ya kueleweka na kuaminika. Mie nikiona habari yoyote kuhusu tukio fulani popote pale duniani kabla sijaiweka humu ni lazima kwanza nijiridhishe kwamba ni habari ya kweli, vinginevyo siiweki humu.
Ni kweli muhimu kutafiti habari uliyosikia kabla ya kuirusha hewani sana sana Jf.
 
Jana nilisoma habari mtandaoni ya kuuwawa Salva Kiir. Sikuamini hiyo source nikatafuta BBC, CNN, DW hadi walipoandika wasifu wake. Nikarudi Jf sikuiona! Nikajua ni uzushi nikaacha kuanzisha thread yake hapa.Najipongeza kufanya utafiti.
Acha unyumbu we mwanamke! Research INA majibu sema unatuambia ndoto zako za balehe!
 
Matusi yote haya ya nini? Kosa langu ni lipi? Kusema nilitafiti habari niliyoisoma nijiridhishe ili niwafahamishe wengine habari ya ukweli ni Unyumbu? Ni habari ya Balehe? Asante kwa matusi yako.
 
Back
Top Bottom