munisijo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 1,117
- 931
Sidhani kama 'serikali hii dhaifu' inaweza hata kutueleza, mifuko hiyo mitatu ya ciment ilipitaje JKNIA ... so zile check point zao ni kwa ajili ya kutuvulisha saa,mikanda na viatu tu?Au mzigo ulipita VIP???Ama kweli MUNGU ni mkubwa, wameumbuka now ...