dnjoki
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 423
- 419
Na kwa mujibu wa gazeti la dira leo cctv za airport SA inaonyesha walikua na mwanaume mmoja,ametoweka pale uwanjan na mabegi matatu,Masogange na mwenzie walikamatwa na mabegi sita(6) na mpaka sasa yamebaki matatu,mengine yameshaondoka mikononi mwa polis
Wabongo wa SA ambao ni wenzao walianza michango ya kumaliza soo lakini miongoni mwao mmoja ameitip polisi na hao warembo wamefutiwa dhamana
Ain't no future n shez fronting!Akafie mbele.......nini masogange baaana,walikuwepo kina masogawe kina masogabo,masogaitu,masogainu mpaka masogako na masogake mixa masogao!