Nina swali kwa watanzania walio hapa. Je, Wantanzania watanufaika vipi kutokana na hili bomba la mafuta litakalopitia kwenye ardhi ya wabongo?
Ningependa kupata maoni ya wale ambao wa uelewa wa mambo ya kiuchumi.
Kwa maoni yangu, sioni lile amabalo waTanzania watanufaika nalo ikiwa hawajapata mafuta katika nchi yao. Kwa kweli, mimi ningependa Kenya ijenge bomba lake kivyake na sio kwa kufanya biashara na Mseveni.