radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
Ukiwa CHADEMA lazima ukubali kuwa lowasa na Freeman ni waadilifu wa kuigwa Tanzania
Sasa hao utawafananisha na wakina chenge kila dili yumo yule mtumishi
Ukiwa CHADEMA lazima ukubali kuwa lowasa na Freeman ni waadilifu wa kuigwa Tanzania
Maana yake kuwa una hoja zaidi ya propaganda za mtandaoni! Thinks twiceHuo muda sina kwa kuwa hakuna nitakacho gain kwa ku argue na wewe
Mbona ukisikia jamaa kuswekwa rumande unaanza kulalamaa!!
Nasikia wewe ni miongoni wa wafuasi wa MTATIRO tena mmesoma naye course moja udsm! Ndo akili yenu imeganda hiviiJionee huruma we mwenyewe kwanza.
Maana yake kuwa una hoja zaidi ya propaganda za mtandaoni! Thinks twice
Jiulize wewe unayefanya Propaganda mitandaoni kila siku.Maana yake kuwa una hoja zaidi ya propaganda za mtandaoni! Thinks twice
I have received so many calls in my phone, and many of them want to learn from my ideas! So sijui nikusaidie nini wewe maskini wa fikra!Jiulize wewe unayefanya Propaganda mitandaoni kila siku.
Unaweka namba kabisa.
Who ever that will call you Must be Mad
Kwa mtu aliyekufa kifikra kama wewe ndio anayeweza kushangilia kitu kama hicho!vipi dau la escrow limekufurahisha nini? jamaa wameuza nchi kwa mpunga mrefu naona roho yako ipo saafi.
HahahaI have received so many calls in my phone, and many of them want to learn from my ideas! So sijui nikusaidie nini wewe maskini wa fikra!
Wewe jiandae kuandamana kwa kuwa mzee lazima aende Segerea! Maana akiondoka atawanyima ata ajira za mtandao kwahyo lazima muandamaneNani wakufanya hayo? Mwakyembe toka 2008 chali ukija mzee wa chatu kashukuru mungu kupeana mkono na lowasa
Kuna watu mashuru wenye elimu zao ambao sizani kama wanalingana na wee kifikra kuna watu wana vyeo vyao wenye taaluma nzuri tuuh tunashare nao mawazo ya hapa na pale kuhusu taifa letu! Hivyo sitishwi na mfu wa fikra kama weweHahaha
Rejea nilivyosema waliokupigia ni akina nani
Mkuu hadi sasa unasababisha kilio ufipa...Ndugu wanajamvi,
Kwenye ukweli tunapaswa kuwa wakweli tuache itikadi zetu za kisiasa kwa kuwa naamini kuwa siasa siku zote inaishi ila watawala wanapita, kuna watu mienendo yao kisiasa inatia shaka kwa jinsi wanavofanya siasa zao.
Nimezisoma maandiko matakatifu na Qur'an na kunipa ujasiri,maarifa na hekima katika kuandaa hawa watu matapeli wanaowaadaa watanzania kwa nyakati tofauti, ebu tuangalie kila moja na utapeli wake;
1:TUNDU LISSU: Tukumbuke mnamo tarehe 15.sep.2007 CHADEMA kupitia katibu wao mkuu DK Slaa na lisu walitaja "A list of shame" pale mwembeyanga Tandika jijini Dar.Miongoni mwa mafisadi waliotajwa ni Edward Lowasa wakimuita fisadi papa.
Mwaka 2015 huyu huyu akijiunga na CHADEMA na kwa Bahati nzuri lisu akatamka kwenye viuga mbalimbali kuwa ile list yeye ndiye aliyeiandaa kuwa DK Slaa walishirikiana naye tuu kuisoma. Sasa hapo ndipo tunapatwa na ukakasi mkubwa na kuhoji hivi Tundu lisu atamwitaje lowasa shujaa wa mabadiliko lakini huyu ndiye waliyemuandama na tuhuma lukuki!
Akatembea naye kwenye mikoa tofauti tofauti kuelezea Lowasa alivo shujaa wa mabadiliko kweli kweli anasahau yote ya nyuma! Ata kama ni utumwa hii ni zaidi ya utumwa. Huyu huyu Tundu lisu alimwita Rais kikwete kuwa ni dhaifu na hapaswi kuliongoza Taifa lakini sasahivi amekuja mtu mkali anasema kuwa Rais kikwete ni bora na anafaa kuigwa! Hivi tutamueleweje Tundu lisu?
Kwangu Tundu lisu ni mtawala ambaye akishapata cheo huridhika na hataki mtu awe zaidi yake, Jimbo lake Singida mashariki hali ni mbaya kweli kweli Huduma za kijamii mbovu Sana lakini ata siku moja Tundu lisu hajawahi kwenda jimboni kuhamasisha au kuwawezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana.
Inasikitisha Sana mpaka mbunge mwenzake ELIBARIKI KINGU anatoka jimboni kwake kwa kuona hali mbaya iliopo kwenye jimbo la lisu na kwenda kuwawezesha vikundi vya akina mama. Lakini lisu amegeuka kuwa msemaji wa chama pale ufipa kazi ambayo ingestaili amwachie Tumaini makene, amegeuka kuwa mtengeneza propaganda za kupambana na MAGUFULI lakini hajui yule ni Rais siyo diwani au mbunge. Lisu badilika Siasa ni sayansi siyo propaganda na huo utapeli wako mwisho wako kisiasa inakuja usipobadilika.
2:FREEMAN MBOWE: Huyu mimi nawona ni mtu anayetumia siasa kufanikisha biashara zake, anawatumia akina lisu kufanikisha mambo yake.lakini hawa vijana hawashtuki, kama mnakumbuka mwalimu NYERERE aliwahi kusema ukiona chama kimevamiwa na wafanyabiashara ujue uhai wa chama ni ndogo. Wakati mwingine inabidi tufukue ata makaburi yaliyopita ili muone itusadie kwenye huu mjadala;
:KAULI HIZI 2014:
*ZITTO KABWE aanika ufisadi wa FREEMAN MBOWE - adai TUNDU LISU ni kifaranga hivyo amemtaka mama kifaranga atoke nje hadharani, pia amegusia kifo cha CHACHA WANGWE.
* Akizungumzia katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari Leo, Mwanasheria mkuu Tundu lisu kuwa mkakati wa kuwafichua viongozi wasaliti ni wa siku nyingi ambapo chama kimenasa mawasiliano ya ZITTO KABWE tangu 2009 alipokuwa akiwasiliana na akina Denis Msack wa mwananchi.
* Lissu anasema njama hizo ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya ugaidi ambapo katika mahojiano yake na Star Tv akiwa na Mwigulu akukanusha, Pia aliandika kwenye Mtandao wa CHADEMA imtose Lwakatare. Lissu anaongezea kwa sasa ZITTO ana magari mawili (2) ya mkono pia alishiriki moja kwa moja kumzui mgombea ubunge jimbo la musoma vijinini ambapo yupo mkono.
:ZITTO AJIBU PIGO ( AMJIBU LISSU):
* Zitto; naamini pia mwaka 2005 mkono alimpa million 40 MBOWE ili asifanye kampeni musoma vijijini.
* Zitto; nadhani pia MBOWE alimwambia mwaka 2008 ( baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa ) mkono alimpa freeman Tsh. Milioni 40 za uchaguzi katika jimbo la Tarime ambapo kwenye chama akatoa mkopo.
* ZITTO: nadhani pia alimwambia mwaka 2010 Mkono alimpa MBOWE tsh milioni 200 pia MBOWE alimuambia lisu lissu kuwa Rostam alilipa milioni 100 Tshs. Kwa ajili za kampeni za DK slaa.
*ZITTO; hivi lisu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka conservative party?
* ZITTO; lissu amwambie aliyemtuma amwambie ukweli wote , Lissu ajue yeye ni kifaranga tuu, namtaka Mama kifaranga ajitokeze.
* ZITTO; namtaka ajitokeze aeleze aliingia deal gan na Sumaye kufuatia deni lake 2005. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya umma ilipo Club Bilcanas.
Kwahyo watanzania wezangu mnaona kabisa juu ya ubadhirifu wa freeman MBOWE, hajawahi kujibu hizo tuhuma ambazo zito alizielezea tofauti za propaganda za hapa na pale. Huyu ndiye mtetezi wa wanyonge na anasema ana uchungu na nchi hii tunamkosea ata mungu kutamka haya!
Huyu ndiye ana tuhuma juu ya matumizi mabaya ya ruzuku lakini tunapewa majibu mepesi kwenye masuala magumu! Huyu ndiye aliongoza mikakati ya kumuingiza chamani mtu waliyemuita fisadi papa na huyu ndiye aliyeongoza kumuingiza huyo huyo waliyemuita kasisi wa mafisadi kwenye kamati kuu ya taifa kwa njia za kutatanisha.
3: SAED KUBENEA: huyu alitumia mda mwingi kumchafua Edward Lowasa na vyombo vyake lakini ilipofika mda wa uchaguzi 2015 yeye na vyombo vyake alimsafisha na kuwa mweupe kiasi kwamba hajawa na tuhuma yoyote. Vyombo vyake vikawa vinaripoti mafuriko ya lowasa tuuh ufisadi akaupa kisogo.
Ni huyu aliyemwagiwa Tindikali mpaka ikahatarisha maisha uhai wa maisha yake, yaani KUBENEA ni bonge la ndumelakiwili sijawahi k uona Tanzania, umwagiwe Tindikali kwa kuripoti ufisadi wa mtu halafu mwisho wa siku unamshika mkono kuwa ni msafi ndiye shujaa wa mabadiliko hakika mlitaka kuuza Tanzania kwa bei rahisi sanaa.
Hii hapa gazeti la mwanahalisi ambaye mkurugenzi wake ni Said kubenea.lakini sasa ndio bosi wao wamemkumbatia na ndiye shujaa wa mabadiliko! Mungu saidia hii Tanzania nchi yangu.
Mimi kama mtanzania mzalendo ni haki yangu kikatiba kuwasema hadharani wale ambao wanataka kupotosha umma. Niwape salamu watu wa Singida mashariki kuwa 2020 nitakuwa na nyie begabega kumuondoa huyu tapeli lisu nitatembea kijiji hadi kijiji kuwaelezea utapeli wa Huyu jamaa.
Mimi si mkazi wa pale ila nimepatwa na uchungu wanaopata wale watu, nitashirikiana na mgombea yoyote atakayeweka nia tofauti na CHADEMA kuhakikisha huyu tapeli anaondoka arudi ufipa akaenezee propaganda zake kwa kuwa ndiyo kipaji chake.
Tumempata Rais muadilifu na mchapakazi ambaye nchi zingine zinamlilia lakini hawa matapeli wanataka kutuvuruga kichwa yafaa tuwapuuze kabisaa.
Safari ya kuelekea uchumi wa kati bado inaendelea;
Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli Tanzania.
SIMON MATO.
0762189733
Nataka niunguze hekalu yote! Nasikia wana kikao cha dharura kutokana na hali ya hewa niliyowachufilia leoMkuu hadi sasa unasababisha kilio ufipa...
Mkielezwa ukweli mnaleta propaganda nyingi! Changieni basi kwa hoja hamwezi siku zote zaidi ya matusi na kejeliHuyu inawezekana ndiye Lizaboni au Hammy D ama Wakudadavuwa katika sura na ID nyingine!!
Wewe mtu kwako wewe kuingiza upuuzi na ujinga ktk jukwaa la ma GT na kisha kuishia kutukanwa tu na more 95% ya wachangiaji bila bila hata kujishtukia na kujiuliza unapokosea, si ishu kabisa unaona ni kawaida tu siyo!?
Aisee kweli dunia imepaa vichwa maji kweli kweli.....
Mashuhuri and not --- mashuruKuna watu mashuru wenye elimu zao ambao sizani kama wanalingana na wee kifikra kuna watu wana vyeo vyao wenye taaluma nzuri tuuh tunashare nao mawazo ya hapa na pale kuhusu taifa letu! Hivyo sitishwi na mfu wa fikra kama wewe
Ni bora siku tukakutana kwenye mjadala wa kitaifa tuone kila moja wetu akijenga hoja zake bila hisia au itikadi za uchama unaokusumbua huo angalau itatusaidia na kutupima IQ zetu!
kwani wakati utapeli wote unatendeka MKUU alikuwa waziri anaingia kwenye cabinet alifanya nini na pia alikua Mbunge alichangia nini bungeni ni yule yule na sasa yupo hakuna jipyaMI SIWAOGOPI WALA NINI NATOSHANA NAO 😉😉😉 TEHETEHE VOCHA NINAYO MKUU. WAPE HAWA VILLAZER WENYE KUAMKA NA NJAA WANAAMUA KUANZISHA UZI ZISIZO NA MASHIKO ATI MATAPELI ,CCM NDO TAPELI MPAKA LEO WATU HAWANA MADAWATI NA HUUDUMA MUHIMU MPAKA HATA MSETO WA 1000 ...ILHALI MAJAMAA KADHA A WAMEJIMILIKISHA MAMBO KEDEKEDE WENYEWE NA WAKE ZAO NA FAMILIA ZAO...
*********************************************************
HUKU WANANCHI WENGI SANA HASA VIJIJINI WANA MAISHA YA KUOGOPESHA KAMA SIO KUSIKITISHA
TRUST ME WENGI WA HAWA WALIOKO HAPA JF WANAOJIFANYA WANAIPENDA CCM WANA HALI MBAYA KIMAISHA
Maana yake kuwa una hoja zaidi ya propaganda za mtandaoni! Thinks twice