Watanzania waogopeni hawa matapeli wa siasa

Wewe ni tapeli wa kiwango cha phd unawazidi maCCM wenzako kwa mbali; sijui kwa nini hukugombea uenyekiti wa chama chenu.
 
Wana wewwseka kusikia kipenzi cha watanzania yuko bukoba kwa wahanga wa tetemeko. Iptl mzee kalipeni hela mnadaiwa
Kaenda bukoba kutoa kafara wa kiongozi wa chama au? Maana nasikia wanafika tuuh jamaa naye anadanja! Hauoni hizi ni siasa za giza
 
Unahitaji kuwa mwendawazimu kuendelea kuwaunga mkono Chadema baada ya sarakasi zile za 2015. In short CCM ina miaka mingi ya kutawala na wanajua namna ya kuwa handle wapinzani hasa kipindi hiki ambacho huko upinzani wamejaa mamluki ambao wamefanikiwa kudhibiti kasi ya wazalendo wa kweli. Nawashauri vijana ambao bado wana matumaini na hawa wanasiasa wajali maisha yao hadi tutapopata watu serious na si wapiga deal ndio msimame kuing'oa CCM madarakani lakini si kupitia akina Mbowe na Lissu.
Bali mtazamo au sio braza Kaka?!
 
Simon mato huyu ccm mdudu ulimywea kwenye pombe aina ipi isiyoisha kichwani hiyo?
 
Kuwa mwanachama wa ccm ni lazima uwe mento fresh?
Mana post nyingi za wanaccm ni upuuzi mtupu kazi lowasa lowasa yani sijawai ona mwanachama na mshabiki wa ccm akileta mada kama za escrow, epa,mabehewa mabovu,Meremeta,Lugumi,Rada,etc
 
Back
Top Bottom