haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,475
- 3,538
Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna.
Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa wengi ni wakristo, kuna wale wanaomtetea bi Fatma wakiamini kua ni muislam, japo hawasemi waziwazi ila unaeeza elewa mlengo wao,
Hi ni hatari kama taifa, tufocus kwenye haki za binaramu na sheria.
Binafsi napenda sana kuzingatia