Watanzania waliosoma Havard

wakuu mimi nilipiga havard ya mwembeyanga, sijui na hiyo inahusika hapa
 

huyu jamaa wa BOT namfaham aisee alisepa hivi hivi tunamuona
 

Namkumbuka huyu dogo, alitangazwa kuwa T.O kwa bahati mbaya, ikawa alikua number 10 kama sikosei.. baba yake ni lecturer chuo fulani arusha..
 

Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
 
Nadhani mkuu The Boss kuna haja ya kuwajua, kama na Chenge (Mzee wa vijisenti) amesoma huko!....Hii itatusaidia kupima mchango wao kwa sababu uwezo wa wahitimu wa chuo ni miongoni mwa vigezo muhimu kutathmini ngazi ya ubora wa chuo husika.

kweli kuna umuhimu wa kuwajua hasa ukizingatia MCHANGO WA MWENZAO ANDREW CHENGE KWA TAIFA.....
 
Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
sikatai mkuu. Ndio maana kuna wengine tunafanya nao huko makazini.
Ila all in all REAL MADRID HAIWEZI KUFANANA NA SIMBA SC
 
Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
Lakini mbona jamaa kaeleweka? Kuna maneno kayatumia kama "majority" maana yake si wote bali kwa kiasi kikubwa,sasa kama huamini mtafute mtu ambae ana shahada ya havard,na uingie nae kwenye soko la ajira world wide,
Alafu uone nini kitatokea,.wakati mwingine si vizuri kupingana na ukweli,utaumiza roho yako bure.
 
Nadhani kusomea havard univ cyo dili sana cha kujiuliza hapa wAmeifanyia nini tanzania! ? Au maujiko tuu! Wengine wanasomea kule kwa sababu ya michongo tu fulani cyo kwamba ni so extraordinary!
 
aiseeeee babayangu MKUU ROMBO SCHOOL OF JAMIIFORUM masters pale
 
msimsahau hemed phd wa bongo movie alisema anaenda kusoma kati ya havard au stanford...ova
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Naogopa wakiwa wengi hii nchi wataanzisha kodi ya hewa, Chenge->Kodi ya simcard, Rada, mhh! Havard ni hatari kwa ustawi wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…