Watanzania waliosoma Havard

So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Mkuu! I do not mean to be rude but what's purpose of your question/thread? I might missed the point somewhere but still I dont get it. Help me please!

 

Mkuu Vuvuzela,
Sidhani kama tatizo ni access ya internet. Wengi wa wenye sifa za kusoma vyuo vya nje wana access lakini wala hawajisumbui kuomba. Tukubali ukweli kwamba ule mchakato wa kuomba shule kwa vyuo vyenye heshima kitaaluma huko Ughaibuni unahitaji uwe na nia thabiti na muda wa kutosha.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wazo zuri sana mkuu na endelea kudunduliza. Ila ukumbuke huyo mwanao nae ajifue na ajitahidi sana ili ukifika huo wakati awe na qualifications za kuingia MIT. Bila hilo unaweza ukajikuta umedunduliza na hela ipo ya kutosha lakini ukakataliwa admission kutokana na kutofikia entry qualifications. Hawa jamaa hawajali hela bali upstairs.
Kumbuka chuo kama MIT dunia nzima wanafunzi wanagombea kuingia hapo, bado kuna wamarekani wenyewe, therefore admission kwenye hizi elite schools ama ivy league schools ina competition ya kufa mtu. They recruit best of the very best from all over the planet!
 
Christina Chogo,mtoto wa mwanza miaka 21..anasomea udaktari
 
Kuna ex wangu anaitwa Wende Kisamfu...najutaaa kumpotezea
 
Mkuu! I do not mean to be rude but what's purpose of your question/thread? I might missed the point somewhere but still I dont get it. Help me please!


I will help you, nenda jukwaa la mapishi where you deserve.
 
Kama sikosei na january makamba kapiga Havard,pamoja na kashfa ya wizi wa pepa pale Galanos.
 

Kinachotuangusha huku kwetu ni activities za nje ya shule huwa watoto wanakosa kabisa.

Unakuta mtoto hayupo kwenye club au ka society chochote na michezo hafanyi!
 
Mimi ni member wa MENSA INTERNATIONAL, score yangu ya IQ ilikuwa 172 baada ya kufanya test zao nilipokuwa Chuoni. Binadamu wa IQ za kuanzia 190 and above hao ni moto wa kuhotea mbali - na wakali zaidi ni ORIENTALS i.e Japanese and Chinese!!!
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Halafu pia mtueleze na impacts za kusoma kwao Havard kwenye maendeleo ya nchi.
 
Kinachotuangusha huku kwetu ni activities za nje ya shule huwa watoto wanakosa kabisa.

Unakuta mtoto hayupo kwenye club au ka society chochote na michezo hafanyi!
Extracurricular activities zipo nyingi tu hapo bongo. Mpeleke mtoto hata tennis academy, debating societies, spelling (bee) competitions, math & science society, foreign language institutes etc....try to be creative mkuu
Mtoto akitoka darasani mchana asikae bure tu hadi wakati wa kuingia kitandani
 
Kinachotuangusha huku kwetu ni activities za nje ya shule huwa watoto wanakosa kabisa.Unakuta mtoto hayupo kwenye club au ka society chochote na michezo hafanyi!
Ni kweli mkuu wenzetu wako makini sana kuchunguza interest za watoto wakiwa wadogo, wanawafanyia kila liwezekanalo kuwapeleka kwenye vikundi/society zinayo husika na interest zao, wakati mwingine wanapewa mafunzo ya ziada.
 

Ni wao ndo hawalitambui taifa ,cyo kwamba taifa haliwatambui wao "mmh nicje nikaandika pumba nilizozitoa kwenye kitabu cha a capitalist nigger" ila kiukweli wasomi wa kiafrica walioko abroad wanambwera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…