Mh Frederick Tluway Sumaye waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Kuanzia 1995-2005
Prof Ishumi
Chenge hafanani kabisa
ila Kileo namheshimu mno...ni kichwa cha kweli
do you mean Prof Abel Ishumi?
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.
do you mean Prof Abel Ishumi?
Ndo maana mama rwakatale akasema Jf ifungwe..!Sumaye Fredrick
Ndo maana mama rwakatale akasema Jf ifungwe..!
tehe tehe teheeeeee itakuwa ilikuwa kozi ya kufisadi watzmiaka kumi course gani!!! Kilimo au misitu na nyuki!!!