Watanzania waliosoma Havard

So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?


Nawajua mapacha wawili wanaoitwa Sylvanus na Salvanus wamesoma Havard na kwa sasa wapo Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- ARUSHA wakisubiri kwenda Masters hukohuko Havard. Ni vijana wadogo bado, mmoja amesoma medicine na mwingine amesoma Engineering. In addition ni watanzania wa kwanza kufika Mars
For more information about them visit http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/15168-intelligent-local-twins-visit-mars
 
Late SYLIRUS MUTAHYABARWA...1984....transport ECONOMICS.
 
Phillip Mulugo(mb) alipiga open ya Havard ila huwa hapendi watu wajue
 
Mwingine ni mpugwa josephat alafu na fredrick sumaye niliwahi sikia kasoma pale
 
Ni ntaenda Havard leo usiku (ndotoni), itakuwa naenda kupiga masters. Topic ya thesis yangu itakuwa "IMPACT OF MARALIA ON PARACETAMOL AND MOSQUITOS" Niwekeni kwenye list kabisa.
 

Mkuu nisaidie Link.....
nijaribu bahati yangu kwa Masters.
 

Mwanasheria, Mwanaharakati na Mwanasiasa Machachari, Tundu Antiphas Lissu, alisoma shahada ya uzamivu katika chuo maarufu cha Warwick huko Uingereza na akawa mshirika katika taasisi moja nchini Marekani ambapo alitafiti na kuandika kabrasha hili:
[h=1]Repackaging authoritarianism: NGO policy reform and the freedom of association and expression in Tanzania[/h]
 
Mkuu unachanganganya sana mambo sasa!

MIT ni chuo bora duniani kwenye engineering programs lkn Havard kinabaki kama chuo bora kwenye art programs!

Kwenye uhandisi kinachotisha sasa ni Caltech - rejea:
Caltech Named World's Top University in Times Higher Education Global Ranking | Caltech

"Caltech is a highly focused science and engineering research and education institution located in Pasadena, CA. It is home to approximately 2,300 students and 300 faculty, and boasts 31 Nobel laureates among its past and current faculty and alumni. Caltech manages the Jet Propulsion Laboratory (JPL) for NASA, and owns and operates a global network of astronomical observatories and research facilities" - http://www.timeshighereducation.co....nstitution/california-institute-of-technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…