Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,534
- 21,023
Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno.
Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa tofauti
Hii ni kutokana kwamba Mama anaupendo kwa wanawe ule wa Asili, Agape Love.
Hata Mwana akikokosea vipi bado Mama humbembeleza na kumuonya ili arudi kwenye mstari.
Basi baada ya yale yaliyotukumba March 2021 na baadae akaingia Madarakani Mwanamke tuliyeamini ni shupavu na Watanzania wote wakajawa na Matumaini kwamba huenda mambo yakawa bam bam.
Cha ajabu watanzania wamekuja kushtuka kuwa ni bussnes as usual.
Wengine wanasema maswala ya Uchumi, umeme, mfumuko wa bei za bidhaa, Ukiukwaji wa Utawala wa sheria na haki yoote haya yaliwashinda akina Mkapa, Kikwete na Dr Magufuli. Je, Samia ataweza?
Ukichunguza dhahama hizi zinazotupata hakuna Mbunge hata Mmoja amesikika Bungeni kututetea sisi wananchi.
Tunajiuliza hivi hii Tanzania inaongozwa na Watanzania kweli mbona hawana uzalendo?
CCM mmekwama wapi?