Nimejiuliza sana why hizi shule za kulipia ni nyingi sana nchini Tanzania. Mtaani kwetu tu zipo kama saba, distance ya kama 3km unapata shule ya St ya Nursery and Primary. Ilihali za government zipo mbali kidogo. Hii inaonesha namna gani Watanzania wana pesa mifukoni maana shule hizi ada zake ni zaidi ya Masters na Undergraduate kwa level ya nursery tu.
Kwa hiyo ukisema Watanzania hawana pesa ni wewe tu, imenishangaza sana India hii mambo hakuna kabisa kwa nini Watanzania tunalalama hamna hela wakati watoto wenu wapo shule za kulipia. Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app