EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Wapo wengi kiasi...kuna huyu mwingine huko Minnesota, anaitwa Alpha Mshihiri.
Hii fraud ilikuwa inafanywa zaidi na watu wenye asili ya Kitanzania tuu?
Halafu inaonekena kama ilikuwa very popular during the sub-prime mortgage crisis that triggered the recession of 2008.