Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

attachment.php


All the way from Washington DC is Mr Phanuel Peter Ligate who is delighted to be here with His Excellency as he represents Tanzania Diaspora in the USA United States Attorney's Office for the District of Maryland

Huyo kwenye picha ndiye huyu kwenye video?

[video=youtube_share;RlD5iewcIxk]http://youtu.be/RlD5iewcIxk[/video]
 
alafu wakija bongo wanajifanya wajanja kumbe wezi watupu.Njooni Mahenge mlime mpunga na matunda
 
Huyo kwenye picha ndiye huyu kwenye video?

[video=youtube_share;RlD5iewcIxk]http://youtu.be/RlD5iewcIxk[/video]

Ndo yeye huyo.

Huoni hilo 'fro?

Hata jina kwenye hii video katambulishwa hilo hilo lililopo kwenye caption za hiyo picha hapo juu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ndo yeye huyo.

Huoni hilo 'fro?

Hata jina kwenye hii video katambulishwa hilo hilo lililopo kwenye caption za hiyo picha hapo juu.

Kaaazi kweli kweli. Ila inaonekana ni wengi walikuwa kwenye hiyo scheme na wame-plead guilty.
 
Unajua hawa jamaa ni wajinga ukiiba marekani itajulikana ni kwamba inachukua muda tu!. Nakumbuka Houston baada ya watu kufungwa mwaka 2005 wezi wote baada ya hapo walikuwa wanakimbia baada ya kuiba sasa hawa wajinga wamejisahau na kuanza kufungua vyama na kujitafutia majina kwenye community kama vile ni wafanyabiashara wa ukweli. Sasa hivi hawana hata pesa na baada ya kifungo hata green card zinachukuliwa na unarudishwa Tanzania kwa escort!. Umepoteza muda, huna pesa yeyote na kuna jamaa mmoja Texas alilawitiwa jela! kwasababu ukienda jela la miaka mitano sio rumande unapelekwa jela la wahalifu na wengine huko ni wauaji.
 
Kaaazi kweli kweli. Ila inaonekana ni wengi walikuwa kwenye hiyo scheme na wame-plead guilty.

Wapo wengi kiasi...kuna huyu mwingine huko Minnesota, anaitwa Alpha Mshihiri.

[h=1]Maple Plain Man Indicted For Defrauding Mortgage Loan Lenders[/h]FOR IMMEDIATE RELEASE
August 7, 2013


MINNEAPOLIS-A federal indictment unsealed late yesterday charges a 38-year-old Maple Plain man with conspiring to defraud mortgage loan lenders. The indictment, which was filed on July 16, 2013, specifically charges Alpha Rashidi Mshihiri with one count of conspiracy to commit bank fraud, three counts of bank fraud, two counts of wire fraud, one count of mail fraud, and one count of money laundering conspiracy. The indictment was unsealed following the Mshihiri's initial appearance in federal court.

The indictment alleges that from June 2006 through January 2009, Mshihiri conspired with others to defraud and obtain money from mortgage lenders by means of false and fraudulent representations. Mshihiri operated Pristine Home Loans and allegedly recruited straw buyers to purchase residential real estate properties. The straw buyers submitted fraudulent loan applications to the mortgage lenders and, in some instances, used the stolen identity others in their applications.

In support of the false loan applications, Mshihiri purportedly created false documents, such as false W-2s and fraudulent paystubs and driver's licenses, which the straw buyers then submitted to the mortgage lenders. In some instances, the proceeds of the loans were allegedly used to pay existing mortgages, financially benefiting Mshihiri and his un-named co-conspirators. In other situations, proceeds were purportedly paid as kickbacks to the straw buyers. Every property purchased through the scheme has gone into foreclosure, resulting in substantial losses to the victim lenders.

If convicted, Mshihiri faces a potential maximum penalty of 30 years on each count. Any sentence would be determined by a federal district court judge. This case is the result of an investigation by the Minnesota Financial Crimes Task Force, the Internal Revenue Service-Criminal Investigations, the United States Secret Service and the U.S. Department of Housing and Urban Development-Office of Inspector General. It is being prosecuted by Assistant U.S. Attorney Lola Velazquez-Aguilu.

The Financial Crimes Task Force was established pursuant to state law and is comprised of local, state, and federal law enforcement investigators dedicated to combating the growing problem of cross-jurisdictional financial crimes. The task force, overseen by an advisory board also created under state law, serves the entire District of Minnesota, presenting its cases to county or federal prosecutors, as appropriate.

The U.S. Attorney's Office wants to remind people to protect themselves from mortgage fraud. For more information, visit StopFraud.gov - Protect Yourself.

An indictment is a determination by a grand jury that there is probable cause to believe that offenses have been committed by a defendant. A defendant, of course, is presumed innocent until he or she pleads guilty or is proven guilty at trial.


Source
 
na kuna jamaa mmoja Texas alilawitiwa jela! kwasababu ukienda jela la miaka mitano sio rumande unapelekwa jela la wahalifu na wengine huko ni wauaji.

Teh teh teh.....huko ukikutana na Bubba lazima ale Tigo:biggrin1:.
 
Daah nimeona jina la mkurya wetu hapo bwana wambura ngoja tufanye mpango tumchangie hiyo!
 
Kuna jamaa ake Cynthia Masasi nae alipiga sana hela huko kwa Obama ,,kasumbua sana hapa bongo!

Jamani kwani box halilipi huko?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mahakama nzuri kuliko mjengo wa Magogoni, Lol
 
mimi nidhani ya mponjori na Othman njaidi watu wanejuwa wizi haufai kumbe bado wamo tu? na huyu mlokole wa jf max shimba amesalimika kwenye hii kamata kamata?
 
Bongo sheria zingekua zinafanya kazi leo Mbowe nae angekua jera...amejibinafsisha nyumba ya Umma,na zille fedha za NSSF
 
Bongo sheria zingekua zinafanya kazi leo Mbowe nae angekua jera...amejibinafsisha nyumba ya Umma,na zille fedha za NSSF

hivi bila kukata mauno kwenye thread za maana husikii raha? unaijuwa escrow?
 
Back
Top Bottom