Mashtaka mapya
Siku tatu kabla ya hukumu ya Juni 16 mwaka huu, Wambura alijikuta katika sakata lingine pale alipokamatwa na polisi na watu wengine watano, wakihusishwa na utapeli mwingine wa kujipatia Dola za Marekani 3.5 milioni (karibu Sh5.8 bilioni) kupitia mikopo ya fedha kwa ajili ya nyumba.
Lakini kama walikuwa wajanja na kusepesha hizo pesa wakitoka huko gerezani mambo yao yaweza kuwa pina tuu.
Mkuu, siyo sahihi hapo juu. Hakuna mashtaka mapya. Hiyo habari ya indictment ni ya Juni 13, 2013. Umetia chumvi ulikuwa umenogewa naona.
Mie sio mdakuzi bana, kila kitu kinapatikana gugo.
Halafu huyo Max Shimba mbona unamshikia sana bango?
Ulikuwa na dili nae akakuchinchia baharini nini?
Unajua hawa jamaa ni wajinga ukiiba marekani itajulikana ni kwamba inachukua muda tu!. Nakumbuka Houston baada ya watu kufungwa mwaka 2005 wezi wote baada ya hapo walikuwa wanakimbia baada ya kuiba sasa hawa wajinga wamejisahau na kuanza kufungua vyama na kujitafutia majina kwenye community kama vile ni wafanyabiashara wa ukweli. Sasa hivi hawana hata pesa na baada ya kifungo hata green card zinachukuliwa na unarudishwa Tanzania kwa escort!. Umepoteza muda, huna pesa yeyote na kuna jamaa mmoja Texas alilawitiwa jela! kwasababu ukienda jela la miaka mitano sio rumande unapelekwa jela la wahalifu na wengine huko ni wauaji.
Ni mtoto wa Mzee Gaudios Tibakweitira.
Huyo Cane Mwihava(43) anayeishi Bowie, Maryland namfahamu. Dah!, kweli za mwizi arobaini.
Huko ni kujiaibisha na kuiabisha familia na ndugu pia.
Tumechoka, wakamatwe tu.
Hahahaha....! Umesoma habari au umesoma kichwa cha habari tu? Wakamatwe tu wakati wanatumikia kifungo tayari na wengine wako mahabusu kisi zikiendelea? Umeona baadhi ya dondoo za press release toka mahakamani katika kesi hizo? Soma habari yote upate uweli wa kianchoendelea.
alafu wakija bongo wanajifanya wajanja kumbe wezi watupu.Njooni Mahenge mlime mpunga na matunda
Huyo Cane Mwihava(43) anayeishi Bowie, Maryland namfahamu. Dah!, kweli za mwizi arobaini.
Huko ni kujiaibisha na kuiabisha familia na ndugu pia.
hawa jamaa msiwabeze ni wakusifia sana, wanajaribu kurusisha hela zilizoibiwa africa
mbona roastam anaiba anapeleka Irani sisi tupo tunangaa ngaa macho , nasema hakuna haibu hapa