Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

Mods Chungeni: Sheria za Libel zinaihusu sana taarifa hii....

Tupatieni Caption za hizo picha kujua kuna malengo yasiyokuwa na malice na libel kuchafua mtu au watu katika hizi picha. Unawekaje picha za watu kwenye stori chafu bila kutaja nani ndo yupi katika hizo picha? Je kama mtu kaunganishwa kimakosa? Kikwete anatafuta nini hapo? Huyo mdada ndo nani? anahusikaje? Huyo masharubu kakaa na kikwete ni nani? Hao watu waa bendera ya chama ni kina nani? Wanahusika kivipi katika hii stori chafu?

Mods Mpo?
 
Highlander
Kuna baadhi ya picha huwa vigumu kuchukua taswira ya mtu mmoja wakati yupo na wengine, pengine mleta mada hakuwa katika nafasi ya kuifanyia uhariri picha kwa kutumia picture crop tools. Mlengwa si Rais bali mhusika. Habari si za vijiweni, kumewekwa press release toka mahakama za marekani katika kesi hizo. Hakuna kuchafuana hapa ila kujenga taswira za watu kujirekebisha na kufuata sheria na taratibu katika masuala ya kuuchumi si kwa kudanganya na utapeleli. Kwa bahati mbaya hatujaweza kupata mara moja picha aliyo peke yake vinginevyo kama unayo nirushie nifanyie editing.
 
nadhani huyu jamaa anaisikia tu marekani na wala aijui vema

Marekani mbaya zaidi kama mhusika ni mtu mkubwa mwenye nafasi serikali atachukuliwa kwa uzito wa pekee kuliko pick pocket, tofauti bongo vigogo wanalindwa. Marekani sheria msumeno haijali wewe nani na kabisa una hadhi kubwa ndo makubwa yatakupata kuliko mlala hoi maana kigogo unatakiwa kuwa mwadilifu wa hali ya juu na kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.
 
mimi siwalaumu hao hata kidogo....ila mngerudi bongo fasta tu...mbona tz tushaibiwa sana
 
hawa jamaa msiwabeze ni wakusifia sana, wanajaribu kurusisha hela zilizoibiwa africa

mbona roastam anaiba anapeleka Irani sisi tupo tunangaa ngaa macho , nasema hakuna haibu hapa

mkuu mmoja alifanya kosa alimuweka mmoja wa jamaa hawa bot!
Wakipiga pesa waje wawekeze kwenye viwanda bongo.
 
Highlander
Kuna baadhi ya picha huwa vigumu kuchukua taswira ya mtu mmoja wakati yupo na wengine, pengine mleta mada hakuwa katika nafasi ya kuifanyia uhariri picha kwa kutumia picture crop tools. Mlengwa si Rais bali mhusika. Habari si za vijiweni, kumewekwa press release toka mahakama za marekani katika kesi hizo. Hakuna kuchafuana hapa ila kujenga taswira za watu kujirekebisha na kufuata sheria na taratibu katika masuala ya kuuchumi si kwa kudanganya na utapeleli. Kwa bahati mbaya hatujaweza kupata mara moja picha aliyo peke yake vinginevyo kama unayo nirushie nifanyie editing.

nilikuwa nimeomba tu identification mkuu. kwa hiyo tatizo si kuweka picha. tatizo ni ku-identify watu ili msomaji ajue
anayesema ni yupo. kuwasema watu wawili watu halafu kurundika picha za watu saba si sawa hilo. unakuwa unaunganisha watu katika kosa. identification ndo issue mkuu. ila naoma kuna picha zimeondolewa; that makes some sense, lakini bado identification ni muhimu hata kama zinaunga mkono au kufafanua press release. identification!
 
navuta picha ndio wangetusua sasa mpaka hizo $3.5M, lazma shingo zingeuma kugeuka kushangaa mavogue na magari ya ajabu ajabu yakiingia Tz.:cool2:
 
Hapo namhurumia ndugu yangu kalley ammy kwani ametoka kwenye familia ya chini huku mama yake akiwa ndiyo tegemeo lake na alipata kuwa mwenyekiti wa chadema tawi la Washington dc sijui kama bado anaendelea na nafac hiyo ama vp Mwenyezi Mungu amnusuru
 
Kama Edgar Tibakweitira, ambaye anajulikana pia kama Edgar Julian, Charles Edgar Tibakweitira au Edgar Gaudious Tibakweitira ni siyo mtoto wa mzee Gaudious Tibakweitira ambaye ni mjumbe wa Tume ya Maadili ya viongozi?

Pichani ni Rais Kikwete baada ya kuwaapisha viongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi, Mzee Tibakweitira ni wa pili kushoto mwaka 2010 source michuziblog.

8D6U3002.jpg

Wewe Emt Jamaa Ni Mfukunyuku. Nyani Ngabu Vipi Na Wabeba Mabox Hawa Kesi Zao Zimeishaje?
 
Last edited by a moderator:
ibeni tanzania tu huko kwengine mtanyilewa mvuaaaa za hatari.......dah
wenzetu hawataki upuuzi kbsa ktk mambo ya msingi, ni kweli shyyt happen lkn binadamu tamaa zinatuponza
hata kama umepiga hela huko kimbiaa rudi home siyo unangangania tu huko kutaka maisha ya mashindano
 
Baadhi ya Diaspora...ni sheedaa...! tumeyaona kwa Anna, Andrea, Sosipita na hatawalio'tangulia' mbele ya haki Daud.
 
Jamaa yuko bongo anakula kuku tuuu
 
Hivi Edgar anafahamu baba yake amefariki kweli, na kama yuko jela bado sheria za Marekani zinawezampa ruhusa kumwaga babake? Ama alishabadilishana na mfungwa wa huku.
 
Back
Top Bottom