Sijawahi kuishi huko isipokuwa nimepita nchi jirani yake.Maeneo ya huko yote muda mwingi katika mwaka ni baridi sana zaidi kuliko ya Mbeya,Iringa na Arusha.Hivyo ukienda jitayarishie nguo za baridi na ukifika usiwache kuzivaa muda wote.Mengine ya kitamaduni utapata wa kukufahamisha.
Austrias ama ASTURIAS ? Njoo inbo nijaribu kukuunganisha nao, jiandae na baridi kipindi hichi (Nov mpaka March / April hivi)Habari wa JF
Natumaini Mko salama wote na mnaendelea vizur na majukumu yenu bila kupoteza muda ngoja niende direct to the point. Namshukuru Mungu baada ya Miaka 4 ya kutafuta scholarships ya kusoma nje ya nchi mwezi uliopita nimepata scholarships kwenda kusoma nchini spain katka mji wa Austrias. Nakuja mbele zenu kuomba kama kuna watanzania wanaishi huko spain kunipa ABC za mji huo km kuna vitu ninapaswa kuvifanya kabla ya kuja huko maana visa tayar pamoja na air tickets. Je Kuna mambo ya kuzingatia akat anakuja katk miji hyo maana wengine ndo mara ya kwanza kufka huko. Ahsante
andika ata uzi wa update maisha yanaendaje huko tuenjoyFresh sana kaka. Tupo tayar tumefika huku ughaibuni tunakomaa tu na shule Mkuu
itapendezanitalifanyiaa kaz hlo kiongoz
Sijawahi kuishi huko isipokuwa nimepita nchi jirani yake.Maeneo ya huko yote muda mwingi katika mwaka ni baridi sana zaidi kuliko ya Mbeya,Iringa na Arusha. Hivyo ukienda jitayarishie nguo za baridi na ukifika usiwache kuzivaa muda wote.Mengine ya kitamaduni utapata wa kukufahamisha.
Eli24, Komaa sasa amefika, tuliza akili . Soma mazingira. Jichanganye na wenyeji usitafute sana makundi ya wageni. Jifunze lugha, tamaduni na mila za wenyeji.