Watanzania waishio Spain

Fuatilia channel hii kujifunza lugha channel ya Butterfly Spanish, wengi imewasaidia ni channel tajwa kupotezea bando lako lakini utaibuka na umahiri katika lugha yao. Wengi hawakujuta kunufaika na channel hii iliyowafungulia milango ktk ulimwengu unaoongea KiSpaniola

Source : butterfly spanish

Shukran Mkuu
 
Habari wa JF

Natumaini Mko salama wote na mnaendelea vizur na majukumu yenu bila kupoteza muda ngoja niende direct to the point. Namshukuru Mungu baada ya Miaka 4 ya kutafuta scholarships ya kusoma nje ya nchi mwezi uliopita nimepata scholarships kwenda kusoma nchini spain katka mji wa Austrias.

Nakuja mbele zenu kuomba kama kuna watanzania wanaishi huko spain kunipa ABC za mji huo km kuna vitu ninapaswa kuvifanya kabla ya kuja huko maana visa tayar pamoja na air tickets. Je, Kuna mambo ya kuzingatia akat anakuja katk miji hyo maana wengine ndo mara ya kwanza kufka huko.

Ahsante
Huyu Kiduku Lilo ukimcheki atakupa ABC hadi Z
 
Nilifika Spain kwa picha tu nilipokua nikisoma novel ya "Origin" ya kwake Dan Brown ameielezea miji ya Seville na Barcelona hadi nahisi kuna picha imebaki kwenye mind yangu,naami kuna siku nitafika kwenye viunga hivyo vya kitalii na kuonana na kina Ambra Vidal wengi sana.
 
Mkuu tunaomba mbinu ya kupata scholarship..

Ndugu naomba nkuambie kwamba kupata scholarship n mchato mrefu uliojaaa mapambano meng sana. Mbinu n kupambana tu kwenye internet au newspapers kuzisaka. Ni kwel mim binafsi nina miaka 3 tangu nianze kuzkaa ila tangu nimeipata ile hela yangu nliyoitumia kuzsaka imerudi mara 10. Ninaposemaa hela sio ya kuhonga ili upate bali n ile ya kwenye kutumia bundles, kufanya mitihan ya IELTS maana hyo mitihan km hujajipanga vzur utafail hata mara mia na wazungu hawana huruma umefel mara ngap wao watakaa criteria zao uzitimizee,pia kutumia application kwa kutumia DHL, mambo ya Visa, air tickets.So n mchakato mrefu ila it will pay off greatly ukipata km unania kwel komaa tu.
 
Bora umejisema kweli

Nilipomaliza chuo nilitaka nisepe nje nikiwa sina a,b,c,d ila nilikutana na mtu akanambia dogo jipange

Baada ya miaka 5 nimefanikiwa
.sio kazi ndogo kwa mtoto wa mkulima
 
Back
Top Bottom