Geza relax. Huwa mnaleta tweet ya mtu mmoja kutoka Kenya mnapiga kelele sana apa. Atleast Serengetipost iko na 3200Serengetipost with less than 3200 n u dare to claim Watanzania?
Kwenye twitter pages za maana! Hiyo barabara ni mpuuzi tu anaweza ku-support viaduct ya km 9+ ya kupitisha magari badala ya tram trains! First one to be built as in the developed world, viaducts hupitisha metro trains ila Mchina anawatengeneza tena!Geza relax...huwa mnaleta tweet ya mtu mmoja kutoka kenya mnapiga kelele sana apa..atleast serengetipost iko na 3200
Then Tanzania kuna 3200 all in serengetipost. Wameikubali vibaya sana hio viaduct hata kushinda sisi wakenya wenyewe. Hata china ziko izi viaduct za gari. Wacha keleleKwenye twitter pages za maana! Hiyo barabara ni mpuuzi tu anaweza ku-support viaduct ya km 9+ ya kupitisha magari badala ya tram trains! First one to be built as in the developed world, viaducts hupitisha metro trains ila Mchina anawatengeneza tena!
Kwani ni Wajerumani?Serengetipost with less than 3200 n u dare to claim Watanzania?
ha ha halafu wanasema eti ni Watanzania wachache...whereas they bring an opinion of one Kenyan as if ni sisi wotevulcan ......I see what you did there. A little taste of their tactics.
it gives me a lil chuckle watching geza try to knock this thread while he defends his Twitter posts.
The man has damn near turned JamiiForums from a forum into a Twitter aggregator
Mkuki kwa mwanadamu huu ๐Serengetipost with less than 3200 n u dare to claim Watanzania?
blaming everyone, Kenyans...Opposition ... losers ... mara tunduNimegundua kitu kwamba wakenya wakisifiwa na watanzania wanapata wendawazimu
Hao wote ni wapinzani walioshindwa uchaguzi vibaya so what do you expect from the loosers? ๐๐๐
Ila nimeona namna mnavyopata mshawasha pale mtanzania anavyotoa credit kwa Kenya
Tukiamua kuweka namna wakenya wanavyoshobokea Tanzania kwenye kila kitu JF gonna collapse
Ni ngumu sana kuwaelewa kama huijui siasa ya Tanzania, wao wanafikiri wakifanya hivyo ndio dukuduku lao linatoka kumbe unyumbu wao umewaganda kama ngoziblaming everyone, Kenyans...Opposition ... losers ... mara tundu
Na mbona Wakenya wachache wakisema hivo mnadai ni WaKenya woteNi ngumu sana kuwaelewa kama huijui siasa ya Tanzania, wao wanafikiri wakifanya hivyo ndio dukuduku lao linatoka kumbe unyumbu wao umewaganda kama ngozi
Hawatusumbui Ila wanawapa ninyi ukichaa ๐ ๐ ๐
He's so stupid. Mbona sisi hatusemi hao wakenya ni watu wa opposition? Hawa watu hawakosangi visingiziona mbona Wakenya wachache wakisema hivo mnadai ni WaKenya wote
Nimeshtushwa na taarifa humu kwamba nauli ya abiria wa commuter train Kenya ni shilling 2200? Like seriously? ๐๐๐๐na mbona Wakenya wachache wakisema hivo mnadai ni WaKenya wote