Watanzania wafungua roho

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459

1605593750051.png

1605593790680.png

1605593827763.png

1605593855802.png

1605593912485.png
 
Geza relax...huwa mnaleta tweet ya mtu mmoja kutoka kenya mnapiga kelele sana apa..atleast serengetipost iko na 3200
Kwenye twitter pages za maana! Hiyo barabara ni mpuuzi tu anaweza ku-support viaduct ya km 9+ ya kupitisha magari badala ya tram trains! First one to be built as in the developed world, viaducts hupitisha metro trains ila Mchina anawatengeneza tena!
 
Then Tanzania kuna 3200 all in serengetipost. Wameikubali vibaya sana hio viaduct hata kushinda sisi wakenya wenyewe. Hata china ziko izi viaduct za gari. Wacha kelele
 
Jameni hizo comments nimecheka sana hapa, ila ni ukweli, angalia SGR kasafu ka kilomita 200km Dar-Moro kamegomea maporini lakini wamepigishiwa makelele utadhani inakwenda binguni, ilikua waanze kuitumia mwaka jana, na nionavyo huu mwaka unaisha wakiendelea kutangaziwa SGR ilhali sisi SGR yenye urefu karibia mara tatu ya hiyo tulishakamilisha kitambo na tumeitumia hadi tumechoka nayo.
 
vulcan ......I see what you did there. A little taste of their tactics.

it gives me a lil chuckle watching geza try to knock this thread while he defends his Twitter posts.

The man has damn near turned JamiiForums from a forum into a Twitter aggregator
ha ha halafu wanasema eti ni Watanzania wachache...whereas they bring an opinion of one Kenyan as if ni sisi wote
 
Nimegundua kitu kwamba wakenya wakisifiwa na watanzania wanapata wendawazimu

Hao wote ni wapinzani walioshindwa uchaguzi vibaya so what do you expect from the loosers? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila nimeona namna mnavyopata mshawasha pale mtanzania anavyotoa credit kwa Kenya

Tukiamua kuweka namna Wakenya wanavyoshobokea Tanzania kwenye kila kitu JF gonna collapse
 
Nimegundua kitu kwamba wakenya wakisifiwa na watanzania wanapata wendawazimu

Hao wote ni wapinzani walioshindwa uchaguzi vibaya so what do you expect from the loosers? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila nimeona namna mnavyopata mshawasha pale mtanzania anavyotoa credit kwa Kenya

Tukiamua kuweka namna wakenya wanavyoshobokea Tanzania kwenye kila kitu JF gonna collapse
blaming everyone, Kenyans...Opposition ... losers ... mara tundu
 
blaming everyone, Kenyans...Opposition ... losers ... mara tundu
Ni ngumu sana kuwaelewa kama huijui siasa ya Tanzania, wao wanafikiri wakifanya hivyo ndio dukuduku lao linatoka kumbe unyumbu wao umewaganda kama ngozi

Hawatusumbui Ila wanawapa ninyi ukichaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Na mbona Wakenya wachache wakisema hivo mnadai ni WaKenya wote
 
na mbona Wakenya wachache wakisema hivo mnadai ni WaKenya wote
Nimeshtushwa na taarifa humu kwamba nauli ya abiria wa commuter train Kenya ni shilling 2200? Like seriously? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hii kwa Tanzania ni nauli ya kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine tena kwenye luxurious shuttle service

Eti Kenya ndio nauli standard ya kila kituo ndani ya jiji? Sasa wakenya wengi ni scavengers pesa ya chakula tu hawana hii nauli yote watatoa wapi?

Hii pesa kwa Tanzania ni pesa ya kula Wali nyama na mboga za majani for lunch and dinner na inabaki 200 hapo utaamua ununue ndizi au maji ya kunywa (though drinking water is a free service in restaurants)

Sadly Kenya hiyo ni pesa ya nauli ya daladala mjini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom