Nadhani hapa ni watu kushindwa kuelewana tu. Wale waliopo Tanzania wana jaribu kujusitfy hali zao duni kwa kujaribu kuonyesha kuwa wote waliopo nje ni ma loser na wale waliopo nje japo wengi wao hawaja fanikiwa wana jaribu kuonyesha kwamba kuwepo kwao ughaibuni siyo all for nothing. In short hapa masikini wana shindana nani ni masikini zaidi (na naongelea kwa generalization kama mada ilivyo wekwa).
Ukweli ni kwamba Watanzania waliopo nje ambao wameendelea sana ni wachache na hii ina tegemea pia na definition yako ya maendeleo ni nini. Kama kuwa na huduma za afya nzuri na shule bora ni kweli wanje wana faidika na hivyo vitu lakini hivyo vitu si matokeo ya maendeleo binafsi bali ni vitu una vipata by default kwa kuwa huko. Kwa hiyo tofauti kubwa ya majority ya watu wa nje na waliopo nyumbani ni hiyo kwamba wanje wana pata benefit ya hizi "default services" lakini haimaanishi wa nje ana maendeleo yoyote ya kumshinda wa nyumbani. The difference is in being average abroad and being average back home.
Kwa wale waliopo Tanzania kuna wale ambao wana kinyongo na watu waliopo nje. Tuseme ni kama they are taking their frustrations out on the diaspora. Ni kukosa kuangalia the big picture. Ukiagalia kiundani wengi (si wote) wa Watanzania waliopo nje si professionals na hata kama ni professionals una kuta mtu hafanyi kazi inayo endana na profession yake (that is una weza ukamkuta mtu kasomea udaktari lakini huko nje siyo kazi anayo fanya). Kwa maana hiyo not to sound disrespectful lakini Watanzania wengi waliopo nje they wouldn't make much difference whether they were abroad or back home. Leo hii diaspora nzima ya Tanzania irudi nyumbani ndiyo Tanzania ita tajirika?
Kwa hiyo ndugu yangu maisha ni popote pale mtu mwenyewe anapo amua. Kuna baadhi wameamua kukaa nje waache wakae nje whether wana changia nchi or not. When it comes down to it wengi wetu tunajiangalia sisi binafsi kwanza, kisha familia then categories zingine zina fuata. Kumuambia mtu arudi Tanzania kwa sababu ya kuchangia taifa haimake sense kwa mtu kwa maana mtu ana angalia kwanza nini chenye manufaa kwake.
So in short wakuu Tanzania ita jengwa na Watanzania (wawe nje au nyumbani) ambao wameamua kuchangia taifa kwa namna moja ama nyingine. Una weza ukawa nchini Tanzania na usiwe na faida yoyote kwa taifa na una weza ukawa nje na ukawa na mchango mkubwa tu. Cha msingi ni kukusanya nguvu za watu ambao wana weza kumake a differece. Mtu uta lalamikaje mwenzio ambao ana bangaiza na menial labor hachangii taifa? Ata changia nini? Aache kujiangalia yeye na wa karibu yake kwanza? Na hata ambae yupo nyumbani lazima ajiulize ana lichangia nini taifa? Una weza ukaishi Tanzania na bado ukawa liability badala ya asset kwa taifa.
Na kuhusu hayo makundi yako matatu uliyo yataja ukweli ni kwamba they constitute a small minority. Watanzania wangapi nje baba zao ni mabalozi? Wangapi baba zao ni mafisadi? Idadi kubwa ya Watanzania waishio nje ni watu wa kawaida ambao wali pata zali ya kwenda nje na kuamua kuchukua hiyo nafasi. Tena I guarantee you watoto wengi ambao baba zao wana nafasi Tanzania hurudi kwa sababu nyumbani wana connections nyingi zaidi na pia una kuta nyumbani wana mali nyingi zaidi. Wengi ya ambao huamua kwenda Marekani na kubaki huko ni wale ambao una kuta hawana kitu cha maana walicho kiacha Tanzania zaidi ya familia zao na ndiyo maana kwao kubaki nje ni rahisi zaidi. But I guarantee you most of the people who have something to go back home to (mali, job prospects nk) wata rudi).
Najua post yangu ina weza kuonekana harsh but ukweli ndiyo huo.
This article is Oxymoron!!
I still do not understand what exactly does the writer want or reflect on. I personally think the writer has overgeneralize about the lives of Tanzanians in diaspora.
I currently live and do business both in Dar and Los Angeles. I've lived in the US over the past 20-plus years and have visited almost all States except Idaho, and have met my fellow Tanzanians engaging in wide range of professions. Some of these Tanzanians living and working in the US have outstanding and exceptional career experience beyond western standards.
To cut the long story short; there are Tanzanians who are very successful beyond even by American standards. I've met Tanzanians who are doctors, scientists, investment bankers, IT consultants, engineers, lectures, professors,Seasoned- Business directors, top businessmen, small business owners, bankers and even some IT gurus in the Silicon Valley!
I've met Tanzanians graduated from top schools in the world like Harvard, John Hopkins, Stanford, MIT etc
Similarly I've met Tanzanians who are nothing but losers, drunkards, crack-heads, big yappers, party animals, conmen, who$res and all the crap you know in the hood!
In the United states, if you are here legally, work hard, and go to college and study those areas or majors that are of high demand in the US job market (such as Medicine, Biochemistry, Electrical Engineering, Electronics, Accounting, IT, Nuclear Physics and the like) then sky is the limit. That's why I've met some Tanzanians working even in the Silicon Valley.
For you Mwanafalsafa to say that "
Ukiagalia kiundani wengi (si wote) wa Watanzania waliopo nje si professionals na hata kama ni professionals una kuta mtu hafanyi kazi inayo endana na profession yake (that is una weza ukamkuta mtu kasomea udaktari lakini huko nje siyo kazi anayo fanya). ".....you are dead wrong! May be in Europe cause I've never lived there, but in the U.S there are a lot of opportunities for the folks in the professions I've mentioned even at the time when the economy is still in the tank.
If you go to college and major in Liberal Arts, Criminal Justice, Political Science, Sociology, History etc. then that's a recipe for a disaster since you may have even a Masters/phd and still struggle to get a good profession just like most local Americans...and chances are; you will be a "box guy" or engage in those odd jobs!
It's very important for any country to have some of her citizen in diaspora. That's why you have thousands of Indians, Chinese, Nigerians, Kenyans, and even the Brightons in every corner of the US.
So people need to stop overgeneralize about the lives of Tanzanians in diaspora particularly those living i the US.