Watanzania tuwe na utamaduni wa kutembea haraka ,Mimi nadhani itaongeza uchapakazi

Kwa waliosoma life skills kutembea haraka ni moja ya vigezo muhimu vya kustaarabika na uchapakazi .Tanzania utamaduni wa kutembea haraka haupo yaani watu wanatembea kama waliochoka ndo maana hata nchi yetu ina sifa ya watu wasiokuwa na furaha kadri ya takwimu kwa sababu ya watu kutembea kama vile wamekula sijui nini,ukitembelea mitaa mingi ya dar hata mwanza watu wanatembea kama hawana kazi za kufanya yaani wengi wanatembea sijui kusharobaro wengine wakinengua hasa mademu halafu tunasema nchi ya uchumi wa kati kufikia 2025 .hebu tazama nchi za wazungu watu wanatembea haraka hata baadhi nchi za Africa kama Kenya na south Africa movement zao zina uharaka tofauti ilivyo bongo.utamaduni wa kutembea haraka unapaswa uwepo kwenye nchi inayotaka kupiga hatua
Kwa hili nakuunga mkuno saana. Mimi huwa ninashangazwa pia. Yaani unakuta sehemu zenye msongamano kama Kariakoo yaani mtu anatembea utafikiri tayari ameshafika. Huwa nawapush na wengine nawambia hodi napita zangu haraka nafanya yangu fasta naomdoka.
 
Wananikera sana,pita pale samora karibia na jmall yani watu utasema pale wamefika mi huwa nawasukuma..sometimes unakuta watu wapo katikati ya njia wanapiga story asubuhi na mapema hawana habari!!

Bora wa samora ...nenda kkoo asbh saa1 na nusu hv..unakuta group.la watu kam 30 ukisikilizà wanayongea sasa...ni simba na yanga...yaan mibaba mizima.inakuja kupoyeza tu muda...ukiuliza ohh wanakuambia madalali...nachefuka sana na hii shughuli ya udalali...kuna kipindi hubby naye alijifanya dalali wa magari...nilimwambia nakupa miez...usipojitune kuwa smart utaona..eti jitu linatoka job saa9..linakaa vijiweni kunyw mikahawa na mivikombe yao michafu ile😣😣😣😣...haina hata la maana..shenzy typ!
bora urudi hom ufanye trade zenu za mitandaon aisee
 
Bora wa samora ...nenda kkoo asbh saa1 na nusu hv..unakuta group.la watu kam 30 ukisikilizà wanayongea sasa...ni simba na yanga...yaan mibaba mizima.inakuja kupoyeza tu muda...ukiuliza ohh wanakuambia madalali...nachefuka sana na hii shughuli ya udalali...kuna kipindi hubby naye alijifanya dalali wa magari...nilimwambia nakupa miez...usipojitune kuwa smart utaona..eti jitu linatoka job saa9..linakaa vijiweni kunyw mikahawa na mivikombe yao michafu ile...haina hata la maana..shenzy typ!
bora urudi hom ufanye trade zenu za mitandaon aisee
Ndo maana wakija wakenya bongo wanatuonaga wavivu.

Kule Kenya Nairobi watu wako bize na wanatembea haraka
 
Kwa waliosoma life skills kutembea haraka ni moja ya vigezo muhimu vya kustaarabika na uchapakazi .Tanzania utamaduni wa kutembea haraka haupo yaani watu wanatembea kama waliochoka ndo maana hata nchi yetu ina sifa ya watu wasiokuwa na furaha kadri ya takwimu kwa sababu ya watu kutembea kama vile wamekula sijui nini,ukitembelea mitaa mingi ya dar hata mwanza watu wanatembea kama hawana kazi za kufanya yaani wengi wanatembea sijui kusharobaro wengine wakinengua hasa mademu halafu tunasema nchi ya uchumi wa kati kufikia 2025 .hebu tazama nchi za wazungu watu wanatembea haraka hata baadhi nchi za Africa kama Kenya na south Africa movement zao zina uharaka tofauti ilivyo bongo.utamaduni wa kutembea haraka unapaswa uwepo kwenye nchi inayotaka kupiga hatua

Ukitaka kucheka uishiwe nguvu juu ya suala la mwendo, watazame askari wa usalama barabarani wakisimamisha gari kwa ukaguzi
 
Kizazi kisichosoma vitabu! Mbona hizo ni life skills zinafundishwa form two na hata darasa la sita.
1,tembea kwa kujiamini na kwa haraka.
2,Ongea kwa sauti inayosikika usipayuke au kunong'ona.
3,usigeukegeuke nyuma bila sababu.
4,kaa kushoto kwa barabara.
5,usichekecheke kama zuzu.
6,usitumie dk nyiiingi kusalimia watu njiani.
7,kama huna sababu ya muhimu usimtembelee mtu alfajiri.
namba 7 sawa kbs
 
Si kutembea tu, bali hata katika utoaji wa huduma kwenye maofisi na sehemu zingine Watanzania wapo polepole sana utadhani mtu hajui kazi aifanyayo!

Kwenye sehemu ya biashara, Watanzania wengi hawajui kuhudumia mteja hadi ajisikie kurudi tena siku nyingine.
Wengine huangalia kwanza mwonekano wa mteja kisha humdharau!
umenikumbusha TRA.hapa ni mwendo wa kukumbushana tu😔😔😔
 
Back
Top Bottom