Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

hayaland

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
712
Reaction score
399
Kenya walikuwa wakalimu sana walipowakaribisha wasomali kwa sababu ya vita vinavyoendelea kwao Somalia.Ukienda katima maeneo ya ESLEIGH huko Nairobi wasomali wametawala maeneo yote nyumba za biashara,nyumba za kuishi maduka yote yanamilikiwa zaidi na wasomali.

Al-shabab wameanza vitendo vyao vya kigaidi wakishirikiana na wasomali wenyeji kutegesha mabomu maeneo ya hadhara na sitaki kusema ni wakenya wangapi wamekufa na kujeruhiwa.

Kwa mtazamo wangu rais wa Kenya ana hamu ya kuwafukuza wasomali wote nchini Kenya lakini amejifunika kunapambazuka.

Waliwaruhusu wao kuwapa uraia hovyo lakini ona kinachowatokea wakenya.Waliwaruhusu kununua ardhi,mashamba,kufungua biashara na mambo kedekede.

Taadhari kwa serikali ya Tanzania tuwe makini na wasomali hawa,mwenzako akinyolewa we tia maji.Nilisikia waziri wa mambo ya ndani akisema wizara yake imetoa uraia kwa wasomali 500 waliokimbia kwao kwa sababu ya vita na kufikia Tanga,wanakujaga kwa mtindo huho huo kama Kenya,lakini tujifunze kenya.

Al-shabab wanadai Kenya imepeleka majeshi kwao Somalia ndio maana wanafanya ugaidi.Je na wasomali wenyeji kwa nini wanashirikana na hao magaidi?

Wasomali sio wazuri hata kidogo. Nchi itachafuka sasa hivi kwa mwamvuli wa kukimbia vita.
 
mkuu tunashukuru kwa tahadhari hii. hata wasomali wenyewe (wenye nia nzuri) wametoa tahadhari hii mara kwa mara. Viongozi wetu hawalioni hili. Lakini pia kuna watu wanajali zaidi imani za kidini kama kigezo cha kuwakaribisha hawa wasomali. hivi katika Afrika kuna watu wanafuata dini kama wasomali? lakini ni nhi gani Afrika haitawaliki?
 
Tahadhari yako ni nzuri kwetu hapa Tz! Kwa Kenya siyo kweli kwamba waliwakaribisha bali huko kuna jamii ya Wasomali ambayo ni sehemu ya raia wa Kenya. Hivyo ni ngumu kuwatimua Wasomali Wa Eighth Leigh maana hata kama walitoka Somali watadai wanatokea Wajir na Mandela!!

Hapa kwetu atabidi tuanze kuwabaini Vinana wote na tuwawekee label!!
 
Mhudumu..! mpatie huyu jamaa vinana special malt 2.. ameandika vizuri mno.
Na wewe nakuona hujamaliza vidonge vyako.1/3 ya Kenya ni ardhi wanayoishi wa somali. Ni raia kama walivyo raia wengine. Ni kweli wapo wengi Eastleigh sasa na uliza nini cha ajabu hapo ikiwa 1/3 ya Kenya wanaishi wao? Au kuishi Eastleigh ni only Kikuyu? Au ni vivu wa kike.
 
TAFADHALI SOMA KUHUSU WASOMALI WA KENYA.
The average Kenyan woman is having 4.6 babies, pushing up the country’s population by a million people every year. As a result, the population now stands at 38.6 million nationally, up from 28 million in 1999.
But it is the growth in population of the Somali community, now Kenya’s sixth largest community, that is most noticeable in the results of the 2009 census figure released by Planning Minister Wycliffe Oparanya on Tuesday.
At nearly 2.4 million people, Kenyan Somalis are now classified as more than the Kisii (2.2 million) and the Mijikenda (nearly two million). Census results released by Kenya’s Planning Ministry show Kenyan Somalis are the sixth most populous ethnic group with 2,385,572 people, behind the Kikuyu, Luhya, Kalenjin, Luo and Kamba.
North Eastern Province has grown from 371,391 in 1989 to the present 2.3 million people.The sharp rise in the population of Somalis is due to a high birth rate. The Immigration ministry said it was not due to the influx of refugees from war-torn Somalia, as advanced by some experts. Immigration Minister Otieno Kajwang’ ruled out the influx of refugees saying there were not more than 350,000, most of whom are in refugee camps and were counted.
Source: Daily Nation
 
Kenya wasomali ni nchi yao kama ulivyo wewe hapa tanzania .miji kama isiolo .mandera .garisa.wajir.yaani the whole of North Eastern ya kenya wanaishi wasomali so pls do your homework kabla ya kuandika .sometimes ujinga wako reflects on what you write!
 
Kenya wasomali ni nchi yao kama ulivyo wewe hapa tanzania .miji kama isiolo .mandera .garisa.wajir.yaani the whole of North Eastern ya kenya wanaishi wasomali so pls do your homework kabla ya kuandika .sometimes ujinga wako reflects on what you write!
Nimewahi kukaa na Wasomali kipindi fulani hivi. Ni watu wazuri sana. Wapenda dini,wakarimu,wapole,wajanja,wanaojali muda hasa kwa walichokipanga,hupenda Undugu. Kwa nini huonekana ni wabaya? Ni pale utakapofanya jambo la kutaka kuwaondoa katika misingi yao hiyo waliyojiwekea! Ni wepesi sana kufikiri kutoishi duniani kuliko kutolewa au kuingiliwa katika misingi yao! Otherwise,ni watu wa kawaida tu.
 
naamini mawazo ya zamani ni bora kuliko ya sasa, bashe ni msomali, by makamba 20...
 
Kumbuka majibu ya Mwl. Nyerere Wahindi walipoandamwa,yatumie,utaacha haya mawazo yako yasiyo na msingi!
Yeye mawazo yake ni ya msingi etiiieeee....
Si kasema yupo tayari kuvuliwa uanachamaaa.....
Alafu acha uboya ndg yani umesahau kwamba Bashe ni timu EL.....
 
Kinana ananidhamu ya Chama....na pia anastaafu soon.
Mbona hofu imekujaa acha tumvue mchukue Makapi...
Kimsingi mi ni kampeni meneja wa mgombea mtarajiwa jimbo la Bashe...fursa mkuuu...au hujasikia ya Sofia Simba
Unsfki umewajaaa....nyie

Ova
 
Back
Top Bottom