Watanzania tusidanganyike, Mbowe na wenzake hawana cha kupoteza

Naona modes mliamua kuficha hii thread yangu,kazi ipo
Utafiti wangu unanionyesha kua:-

Modes wanakawaida ukiona wamefuta thread fasta. Ujue ina ukweli mzito sana ndani yake.
Tena wana kawaida ya ku-decode ujumbe hata kama umeandikwa kwa mafumbo... Wataufuta tu.

Na Ukiona hawaja temper nayo jua hiyo ni uzushi mwingi tu. Hata sirioga hawatajali pia..
 
hapo ndio unapokosea kila mwanadamu nisawa bila kujali chama kabila jinsia rangi wala hali yake haya mawazo ya vyam yasitufikishe huko watz na wala silazima kuipenda chadema wala ccm wa act nimamuzi ya mtu binafsi
Kila mtu ana maamuzi yake,mi nimeamua hivyo,na nitabaki kuamini hivyo
 
Mwandishi mleta uzi,mbona maelezo "contradictions" sana, msimamo wako ni upi? Mfano wa Nyerere unalinganishaje na genge la wachumia tumbo?
Nilitegemea utashawishi umma kuwapuuza hao uliowataja kwa kuwa wao hawatapoteza chochote hata wewe ukiuwawa kwasababu ya vurugu walizochochea wao, itakula kwako,sababu wao wapo ki maslahi zaidi. Labda kwa mbaaali,ingeleta maana
Andika ya kwako,kuwaambia watanzania wawapuuze hawa wachumia tumbo, kwanza zipo kibao humu,zinaandikwa na kina lizabon na Lumumba wenzako,mimi nimeamua kuandika hivi
 
Jamani kuna kiongozi moja wa Chama nasikia anatolewa kwenye pangolin la Nhc , ingawa kuna Watu wanasema Hana cha kupoteza ila sisi kwa kutoandamana 1/09/16 na nilikuwa tayari kufanya hivyo lakini asiye poteza kitu Kasema tusiandamane
 
Mafisadi wengi wao walikuwa ndio haohao ama wafuasi wao unategemea nini lazima wapinge hatua zinazochukuliwa na Mtukufu Rais. Huoni hata pango hawalipi, kama pango hulipi inamaana hulipi kodi ya serikali.
 
Andika ya kwako,kuwaambia watanzania wawapuuze hawa wachumia tumbo, kwanza zipo kibao humu,zinaandikwa na kina lizabon na Lumumba wenzako,mimi nimeamua kuandika hivi
Ni jamvi la kubadilishana mawazo,pia kuelimishana. Ni starehe sana kubadilishana mawazo bila kugombana. Ni kama mchezo wa drafti, ukipigwa hadi kingi, utapataje uwezo wa kumlaum mwenzio kukupiga bao? Humu uki-like/unlike point ya mtu, Mpe dole gumba kubwa, ama uchune.
 
Back
Top Bottom