Watanzania Tunataka nini Sijui!

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,300
2,000
Barakatul Eid,

Wakuu nafikiri mnaendelea vyema baada ya Eid,Hongereni kwa kusherehekea Eid kwa njia iliyo njema kwa wale waislamu wa kweli,Na wale ndugu zangu manaswara waliovaa kanzu,hagal,Vilemba na Viua kwa kualikwa na watu kula na kunywa kwa njia nzuri,then wakiwa na Kanzu na nguo hizo kwenda Bar kunywa Konyagi au Kwenda Bucha Za NGURUWE ili tu wachafue imani za watu na kuwakera na kuwatia Hasira Waislamu Mungu anawaona.
Naomba kujua tunachotaka sisi,Watu wana vyeti feki wako maofisini,wasomi wapo mitaani wenye vyeti halali,wakiguswa wenye vyeti kwa kufukuzwa tuna lia wanaonewa,Wakiachwa tunalia hakuna ajira watu wapo Maofisini hawajasoma!Mnataka nini sasa Semeni.
wassalam!
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,375

Nimependa hiyo avatar yako hususan Domo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom